Wale wateja bagia tatu mia tanooo.
Kila Kona utawasikia,Nilidhani ni mtu mmoja kumbe wamezagaa mji mzima 🤣 🤣
Kile Kijiji tuMatangazo ya mazishi as if kila mtu anamjua marehemu.
Matangazo ya kodi.
Bajaji zenye flashing lights utadhani polisi kila kona. Usiku utadhani Christmas imefika.
Mbeya ni kijiji kikubwa.