KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji.

Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara.

Ni kero kubwa sana.
 
Wew umeajiriwa na serikali.....
Watu wanachakalika wew unaona kerere
 
Haa Japo Natokea Mbeya Ilipogawanywa NikawA Songwe
Hili Jambo Iip9 Asili Inachangamoto
 
Matangazo ya mazishi as if kila mtu anamjua marehemu.

Matangazo ya kodi.

Bajaji zenye flashing lights utadhani polisi kila kona. Usiku utadhani Christmas imefika.

Mbeya ni kijiji kikubwa.
 
Matangazo ya mazishi as if kila mtu anamjua marehemu.

Matangazo ya kodi.

Bajaji zenye flashing lights utadhani polisi kila kona. Usiku utadhani Christmas imefika.

Mbeya ni kijiji kikubwa.
Kile Kijiji tu
 
Back
Top Bottom