Jiji la Moshi mliwakosea nini Toyota Tanzania Ltd? Hakuna Branch wala Authorized Parts Dealer

Mfunulie uyu jamaa, spea nyingi Moshi hutoka Kenya na kwa wafanyabiashara kuagiza genuine spare kenya ni cheap kuliko dubai
 
Mkuu, kwa hiyo sentence yako ya kwanza kabisa, umesomeka vyema kabisa, pamoja na hayo maelezo mengine.

So, kwasasa hapo Moshi, kuna Toyota Authorized Dealer yoyote?
Hayupo, Rajinder do all the works na sidhani kama Toyota wanaweza risk kuweka dealer mwingine hapo wakati Arusha tayari yupo..

Na kiukweli tu, hakuna anayepeleka gari Arusha hata Serikali wenyewe wanatengenezea hapo hapo..
 
Mfunulie uyu jamaa, spea nyingi Moshi hutoka Kenya na kwa wafanyabiashara kuagiza genuine spare kenya ni cheap kuliko dubai
Haswaaaaaa mkuu, ndio maana hata simu na other electronics Moshi na Arusha ni rahisi sana pia..
 
Haswaaaaaa mkuu, ndio maana hata simu na other electronics Moshi na Arusha ni rahisi sana pia..

Mkuu, is that true?

Naomba unifahamishe... mfano ile Toyota transmission oil (T-IV), kwa hapo Moshi ni bei gani? Ile genuine kabisa.

 
Nenda Valment garage ndio huwa wana service magari ya serikali hapo moshi.
Wako vizuri nimewahi kuwa mteja hapo japo bei zimesimama sana
 
Wamakonde tunaruhusiwa kuchangia kwenye huu Uzi.Mana naona kama vita ya wasukuma na wachaga hivi .
Jamaa kaleta mada kishabiki mno.
smh.!
 
Kama umeshindwa kujua Moshi ni jiji au mji ni waz usinge weza kua wapi service ya toyota wangepata. Majengo kuna kiwanda cha Rajinda waunda wa toyota land cruza,hizi za utali. Pia alie kua mkuu wa mkoa Darsalam makonda alisha peleka gari mbov za polic kufanyie service hapo.... Pia wanafanya servic ya gari pesa yako tu
 
Kweli tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…