Jiji la moto hilii

Hatareeee tupuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chris Lupembe kaacha pombe?? Halafu kulikua na yule kaka yake Alex lupembe alikuaga chapombe toka anasoma Makumira [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kumbe huyo marehemu aliharibikia Italy, Allah amsamehe madhambi yake.RIP
Hao malezi ya baba yao yaliwaharibu sana,walilelewa kama mayai
Walilelewa kishuwa sana,alipokufaga mzee wao maana mzee wao alikuwa Don fulani enzi za mchonga,mzee Ana push benz wakati huo,mzee yuko sekta fulani tena
Mama ashukuru uwekezaji alioufanya kabla hujafika daraja la mlalakuwa
Ule ulikujamuokoa
Sema watoto wote wale siyoo

Ova
 
Dahhh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mama mwenyewe unamuonaje? Kaka ki naniliu sana
 
Baba yao mzee Lupembe alikua mjanja mjanja enzi hizo za Nyerere, pamoja na kua boss fulani hivi ila pesa ingine mingi aliipata kwa kujiingiza kwenye ajali ya gari akakatwa mkono basi Insurance wakamlipa ma hela kibao.Ni kweli walilelewa ki mayai sana. Chris na Alex walikua wakisoma Makumira basi kila ijumaa wanakusanya nguo wanapanda ndege zinaenda kufuliwa dar na wanarudi na ndege monday asubuhi. Kwenye miaka ya 90s walichacha sana, na hapo umchicha mwiba wake ulipoonekana.
 
Ahaaa kweli walikula maisha.basi ni haki yao kusuffer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…