Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Waachwe tu washangilie nyomi yao maana vipofu wameona mwezi.
Hahaa aaa , nashindwa kuwaelewa Hawa jamaa wa upinzani yaani Mambo yako wazi kbsaa [emoji848]
Raisi anaonekana hata bila kuvaa miwani ase [emoji41][emoji28]
 
aliye washauli wanunue wapinzani arudishe pesa hali sio nzuri kabisa tofauti na matarajio!!
 
Siasa za dunia ndo Nini?? Sis tunasiasa zetu,
Kwa uchumi anko yuko poa, Kwanza kasoma Hesabu but lisu hana chochotale na kasomea sheria ty
Uchumi gani unaongelea wewe?

Wa kujenga uwanja chato?

Maisha magumu sana ndio maana NYOMI KWA LISSU NI KIMBUNGA BILA FIESTA.

TUTAELEWANA TU.
IMG_20200928_080937.jpeg
 
Mbeba maono ya Nini?? Uliwahi kuona ktk biblia mbeba maono wa tabia Kama Lisu??
Soma ktk biblia yako mwanzo hadi mwisho woote walikua watakatifu na walikua wema Wala hawakutaka maadaraka au hata kuwasema vibaya viongoz wao

Kasome biblia yako kwa hbr za Daud, alitaka kuuliwa mara nyingi na Sauli lkn hakuwahi kumsema vbaya, hata MUNGU alipomtia mikononi mwake amuue alikataa akisema hawezi kumuua masihi wa bwana (yaani mpakwa mafuta wa bwana )akimaanisha hawezi kumpinga kiongoz aliyewekwa na MUNGU mpaka pale MUNGU atapoamua mwenyew, na siku ilifika MUNGU akamuondoa mfalme Sauli n aakamsimika Daudi, lkn pamoja na hayo Daudi alilia Sana baada ya kufa Sauli maana Ni huzuni na ilikua aibu kw taifa kuondoka kwa mfalme hata km hakutenda haki bali alichaguliwa na bwana hvyo kuondoka kwake ilikua ni huzuni hata kwa MUNGU maana Ni yeye alimchagu na hakutaka ashindwe ktk ufalme wake ...

Hivyo kumlingansha lisu na mtu aliyeitw na MUNGU ni ushabiki tu au hata kutokumjua vzur MUNGU wetu...

Lisu hana sifa kbsa za kuitwa mtu wa Mungu kwa tabia zake zifuatazo

1. Anapinga kila kitu hata Kama ni Cha maendeleo na alidiriki hata kusababisha ndege yetu izuiliwe nje ya nchi na hii yote ni kuzuia juhudi za raisi wetu

2. Hatujamuona sehemu yoyote akijaribu kumtangulza MUNGU Kama anavyofanya raisi wetu mpendwa Magufuli, kumfananisha na MUNGU ni ushabiki au hata kutoyajua vizuri maandiko, hata Daud alimtanguliza MUNGU

3. Hatumii hekima katika kuongea kwake na mara zote hutumia sauti kali tena ya uchochezi,, haongei kwa hekima kbsa na Ni raisi kuwachochea raia kufanya maandamano

Ushauri kwa wana C.D.M

Chadema hakifai kbsa na kina uchu na madaraka na kinayatafuta kwa namna yoyote hata kwa njia zisizofaa na ndio maana chama kikidiriki hata kumwacha mheshiwa Dk Slaa mtu ambaye alikipaisha chama na kukifanya tukifaham wakamkimbilia Lowasa mtu ambaye nasikia mliandaa hadi kitabu kuhusu maovu yake ikiwa angegombea C.C.M na maajabu akawaacha na kuludi Tena ccm maana aliwaona hamtumii hakili na mlivyo waajabu mlimuunga mkono Sana na mwisho mwa kampain zake akasema mwaweza mchagua Magufuli, nyie jamaa wa CDM tumieni hakili zenu, mbona Mambo yako wazi kbsaa[emoji848]
CDM hakina watu wa kutosha kuwapachika ktk nyazifa mbalimbali



Magufuli Tena 2020/2025
Tunaenda na Magufuli
Magufuli wa tz
Afrika inamhitaji
Dunia inatumia hekima zake
HUYU NDO MBEBA MAONO
Tutavunja katiba tumpe mingine mingii
Nani anamtaka huyo mzee wa FIESTA?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom