Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Waachwe tu washangilie nyomi yao maana vipofu wameona mwezi.
Hahaa aaa , nashindwa kuwaelewa Hawa jamaa wa upinzani yaani Mambo yako wazi kbsaa [emoji848]
Raisi anaonekana hata bila kuvaa miwani ase [emoji41][emoji28]
 
aliye washauli wanunue wapinzani arudishe pesa hali sio nzuri kabisa tofauti na matarajio!!
 
Siasa za dunia ndo Nini?? Sis tunasiasa zetu,
Kwa uchumi anko yuko poa, Kwanza kasoma Hesabu but lisu hana chochotale na kasomea sheria ty
Uchumi gani unaongelea wewe?

Wa kujenga uwanja chato?

Maisha magumu sana ndio maana NYOMI KWA LISSU NI KIMBUNGA BILA FIESTA.

TUTAELEWANA TU.
 
Nani anamtaka huyo mzee wa FIESTA?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…