Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Wewe jamaa ni mpumbavu sana....hivi unapata faida gani kutete ujinga.....mm ni mkazi wa mwanza wa muda mrefu...na uzuri majiji ya dsm na dom nimetembea....nasema hivi mwanza bado tunasafari ndefu sana....watu wawajibike waache kutafuna hela
Acha matusi. Toa hoja ala !
 
Ila ukweli Mwanza inatia aibu sana sasa hivi. Wakati wa miaka ya tisini chini ya yule mkurugenzi mjaluo, jiji lilipendeza kweli kweli. Leo hii Mwanza ni pachafu kweli kweli wala hakuna mpangilio tena kama alivyokuwa amepanga yule mjaluo. Kwa mfano ukienda maeneo ya Mkolani na Mkuyuni ambayo yalikuwa yamepangiliwa vizuri sana miaka hiyo, leo hii yote ni squatters tupu. Tuliojenga huko wakati huo leo hii tunajuta sana.
 
Nkmeshangaa juzi nilipita temeke kule yombo dovya Kuna lami hadi uchochoroni inaibukia buza hadi kitunda na kilungule.

Lami za mtaq zinahitajika maji yote
Habari kaka.

Kuna dada nina shida nae, kuonesha nipo serious nimemwambia popote alipo niko tayari kumfata tuonane.

Mie nipo mitaa ya Ubungo.

Dada ameniambia anaishi Temeke Yombo. Amesema kama ni kuonana, basi isiwe mitaa ya mbali na Temeke. Yaani tusiende mbali. Anaishi kwao.

Mie Temeke sio mwenyeji, napajua Tandika kituo cha daladala na ile barabara ya kwenda Buza.

Naomba unielekeze Yombo iko pande gani. Yaani nafikaje.

Halafu kingine, maeneo ya huko Temeke kuna mahali tulivu naweza mpeleka mtu wangu tukakaa kwa ajili ya mazungumzo.

Wote hatunywi pombe.

Napenda sehem iwe na mandhari tulivu, romantic. Tuweze kuongea kwa utulivu, kisha giza likiingia nimrudishe kwao Yombo mie nirudi Ubungo.

Nisaidie mkuu. Nampenda sana huyu dada.

Kuhusu usafiri nina private car.
 
Tatizo la Tanzania ni uchaguzi na wanasiasa
 
Temeke hakuna sehemu tulivu[emoji28].hasa huko ndani ndani.

Tandika ndio kabisaa.

Ukitaka kwenye yombo ukitokea tandika fika hadi Davis corner(deviskona).

Kuna njia ya kwenda yombo dovya, makangalawe, buza, mbagala kilungule au hadi kitunda nyantila kule ndani ndani.

Kuanzia Tandika hadi yombo dovya sidhani kama utapata sehemu nzuri kule kote uswazi tu.

Labda wengine wakupe msaada
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana....hivi unapata faida gani kutete ujinga.....mm ni mkazi wa mwanza wa muda mrefu...na uzuri majiji ya dsm na dom nimetembea....nasema hivi mwanza bado tunasafari ndefu sana....watu wawajibike waache kutafuna hela
Exactly
 
Mwanza ni Jiji la hovyo tuu,wenzie second City ya Kenya Mombasa inafanana hivi πŸ‘‡

View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1699076674598715521?t=omGUJ2LtlAgVqlhCrp3lyA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…