Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Ilemela unayo sifia ina barabara ngapi za lami? Igombe tu ni vumbi tupu
Nyingi tu ...
Huwezi kwenda buswelu Kwa vumbi ..
Sa hv Kuna lami mpaka ilalila na wanajenga kuelekea shibula ..
Tanroads washakamilisha design ya barabara ya airport kupitia igombe kwenda nyanguge na manunuzi yatafanyika mwaka huu...Hilo vumbi la ilemela sijui utaliona wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nela to Airport ni hela za sherehe ya Uhuru siyo za Jiji. Ni msaada wa Jpm.
Hiyo lami ya Buswelu ni vile tu ndio makao makuu ya Halmashauri ya Ilemela tu. Mitaa mingi ni vumbi tupu. Airport to Igombe Vumbi. Stendi ya ya Nyamongolo kituo cha daladala_tope. Stendi ya kisesa..tope...kuzunguka kwenda igombe tokea kisesa_ vumbi. Mitaa yote ya nyamongolo ni vumbi tupu.
 
Kwa mapato Gani yaliyopo ya kujenga lami mitaa yote hata ilala hawana uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwepo sio kigezo Cha kujenga.ishu ni financial health.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya elewa Mwanza ina vyanzo mara 300 ya musoma ila musoma wako mbali kwa mtandao wa lami za mtaa kwa mapato yao madogo bila viwanda wala wafanyabiashara wakubwa uki linganisha na mwz
 
Haya elewa Mwanza ina vyanzo mara 300 ya musoma ila musoma wako mbali kwa mtandao wa lami za mtaa kwa mapato yao madogo bila viwanda wala wafanyabiashara wakubwa uki linganisha na mwz
Acha uongo....hizo lami hazijengwi na manispaa..lami zimejengwa na TAMISEMI kupitia miradi ya TARURA....hyo program imejenga lami kwenye miji ya babati ,musoma , shinyanga,iringa , sumbawanga,singida na kibaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo....hizo lami hazijengwi na manispaa..lami zimejengwa na TAMISEMI kupitia miradi ya TARURA....hyo program imejenga lami kwenye miji ya babati ,musoma , shinyanga,iringa , sumbawanga,singida na kibaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani TARURA ina toa wapi pesa? Hujui hizo barabara za TARURA ni zs Halmshauri? Au una elewa nn kuhusu TARURA?
 
Kwani TARURA ina toa wapi pesa? Hujui hizo barabara za TARURA ni zs Halmshauri? Au una elewa nn kuhusu TARURA?
Acha bas kutuchota ...sio Kila program ya TARURA inafadhiliwa na halmashauri..Kuna program ambazo zinafadhiliwa na benk ya Dunia au serikali ila TARURA wanasimamia ...mfano Kuna program ya TSCP Tanzania strategic cities program.hii ilijenga lami kwenye majiji ya mwanza,dodoma ,Arusha ... Na manispaa nazo zilipewa miradi Yao.

Kwahiyo kuna mkoa hauna TARURA?
Mwz hela za kuboresha Majiji. Wajanja walikula zote hakuna kilicho fanyika.
Kila siku Feasibility Study za Milimani!! Mara mwekezaji kutoka Brazil,nk. Blah blah za kutosha. Utendaji sifuri.
 
Barabara za Mwanza at least hazina jam sana hili pendekezo linge faa Arusha sana sana maana hadi barabarani watu wana kaanga chipsi. Boda boda zina jaza barabara ni mvurugano tu dala dala nazo kila njia yani ni kelele tu
Acha kufananisha vitu vya kijinga na Arusha😂😂😂
inferior complex mtoa mada anaongelea mwanza wewe unataja Arusha
 
Kwani TARURA ina toa wapi pesa? Hujui hizo barabara za TARURA ni zs Halmshauri? Au una elewa nn kuhusu TARURA?
Soma hyo paragraph ya katikati..ndo ujue pesa zinatoka wapi
Screenshot_20230422-215126.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kufananisha vitu vya kijinga na Arusha[emoji23][emoji23][emoji23]
inferior complex mtoa mada anaongelea mwanza wewe unataja Arusha
endelea kuvuta bangi na usiwe una jibu watu ukiwa high chungulia profile yangu upandishe stimu MFCk
 
TARURA au TANROADS au Serikali haina chanzo kimoja cha mapato hivyo usikariri vitu. Hata ww una weza kuwa na mshahara, lakini una biashara yako pia, na part time husle ya kukuingizia mapato.
TARURA haitegemei halmashauri.. halmashauri wanaweza kuchangia pesa TARURA lakin sio lazima .....usisema lami za musoma zimejengwa Kwa mapato ya musoma. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo hakuna barabara itakayojengwa hapo, serikali hii ya hovyo sana, Mwanza imekuwa kama kijijini, ukiuliza wanakuambia wapo kwenye feasibility study.
Ni mbinu tu ya serikali ya ccm kufanya mind game kwa wapiga kura hili ionekane kuna kitu wameifanyia mwanza na mama apewe promo za kampeni, wakijua fika kujenga barabara ni mtihani ambao hawako tiyari kuufanya ni bora wapake chongo wanja.
 
Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.

Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.

Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.

Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.

Unashangaa Hilo, njoo dare salaam Watu wanaruhusiwa kujenga magorofa Huku barabara za kuhudumia maeneo hayo Magari hayawezi pishana, lami nyingine za michongo zinawekwa hadi milangoni mwa watu bila kujua uhatarishi WA hizi familia!! Huwa najiuliza wizara zinazohusika hadi najipa Majibu hakuna wanalolijua Kwa kizazi Cha Kesho!! Njoo barabara kama maji chumvi kisukuru, Magari hayawezi pishana, bila aibu wanaweka lami, huu ni upotevu WA pesa za Kodi
 
Back
Top Bottom