Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

Lushindo loko ....nani mshamba iweje sehem ya washamba ndo iwe jiji kubwa namba mbili kwa tz na kwa nn isiwe huko kwenu kisokolokwino..[emoji41]
 
Ushamba na wasukuma ni kama kaka na dada hawaezi kutengana kamwe. Yani mutu wa mwanza ata aende wapi dunia hii. Atakuwa mshamba tu
 
Unapumuliwa kwenye kisogo sio bure.
Saa matusi ya nini wewe chali wa shamba city punguzeni ushamba wa ujuaji mwingi jengeni kwa madarasa watoto wenu wapate elimu bora wasiishiye tu kuchunga mbuzi
 

Attachments

  • Screenshot_20230401-164109.png
    Screenshot_20230401-164109.png
    146.3 KB · Views: 3
Hata kina the late Remmy Ongala aliwahi kuimba Mwanza mji mzuri [emoji440][emoji448][emoji447]

Akasema na watu wake waungwana na wakarimu.

Wewe leo unataka kutuambiaje? [emoji101]
 
Shamba city hamuna jipya muko muko tu kazi kuzaliana tu kaa mchwa na ardhi enyewe hamuna punguzeni ujuaji na ushamba mwingi umewajaa
 
Back
Top Bottom