Nimeona subaru forester kibao.Nikajua marekani wanatumia magari ya kifahari kumbe hamna kitu
Trump ndio ameleta mafuriko na kama ana huo uwezo kwa nini asiyapeleke Iran kwa wabaya wake.Trump yupo bize na Homz
Trump is useless hata Zelensky kamshinda anawapiga warusi na drones mpaka Moscow,Trump hata Hormuz hawezi kuifungua na anaficha vifo vya wanajeshi wakeTrump yupo bize na Homz