Jiji lina mayfly over ya hatariiii lakini maji hamna

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?

Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.

Aibu kweli kweli.
 
Vipaumbele.. Je sisi kama taifa vipaumbele vyetu ni vipi? Ninini? Je tuna sera gani mbadala kuhusiana na mambo ya dharura, ikiwemo dgarura kama hizi za mabadiliko ya tabia nchi?

Je mpaka leo hii tupo tunategemea chanzo kimoja tu cha maji kwa mji unaoongezeka na kukua kwa kasi? Je hii kasi inaendana na kasi ya kusambaza huduma muhimu? Je sisi kama taifa bado nazidi kuuliza vipaumbele vyetu ni kwenye nini?
Mambo ya msingi?
Mambo muhimu?
Mambo ya lazima?
Nionavyo mimi hatuko kote huko bali kila wakati naambulia kusikia kitu kinaitwa miradi ya mkakati

BTW.. Ulikuwa na hoja nzuri ila nadhani umeshindwa kuiwakilisha vema... Zaidi kuna marekebisho hapo kwenye mayfly over ni ma fly over
Asante
 
Hivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
Na hao wazazi siwashangai kwakuwa kila hitaji la msingi huko kwao serikali imeshamaliza wacha waanze kudai usala wa watoto wao mashuleni, tz mtoto wa shule anaweza kufia shuleni kwa kupigwa na mwalimu au kutumbukia chooni na wazazi wakabaki kutumbua mimacho tu
 
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?

Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.

Aibu kweli kweli.
Shida na raia nao ndio tatizo mkuu
 
Wakat flyover zinajengwa tatizo la maji lilikuwepo Kwa kiasi gani mpak ilazimu ku_opt pesa iende kwenye maji Zaid kuliko flyover ? Kama umeme ni wa kishua sua maji unayapataje ?
 
Tatizo in awamu ya kifisadi.wamekusanya tozo za simu lakini wameshindwa kutatua changamoto ya maji.
 
Aliyejenga flyover alifanikiwa kuhakikisha maji yapo ya kutosha, umeme upo muda wote na kila raia anachapa kazi kama inavyotakiwa

Baada ya kuondoka yeye kila kitu kimepanguliwa na kama ujuavyo kila unapomleta mtaalamu/mtu mpya ni lazima naye aje na mambo yake anayohisi ni ya maana kuliko mtangulizi wake

Ikiwa utalaumu ujenzi wa flyover na aliyeuhasisi kuwa ndio waliosababisha ukosefu wa maji basi utakuwa punguani wa ajabu kuwahi kutokea
 
Hivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.

Hivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
Ni sahihi waTanzania wengi ni mbwa na mazezeta aisee uoga,chuki,nongwa na wivu ndiyo vitu vyao
 
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?

Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.

Aibu kweli kweli.
Kama.hakuna maji kunyweni beer
 
Aliyejenga flyover alifanikiwa kuhakikisha maji yapo ya kutosha, umeme upo muda wote na kila raia anachapa kazi kama inavyotakiwa

Baada ya kuondoka yeye kila kitu kimepanguliwa na kama ujuavyo kila unapomleta mtaalamu/mtu mpya ni lazima naye aje na mambo yake anayohisi ni ya maana kuliko mtangulizi wake

Ikiwa utalaumu ujenzi wa flyover na aliyeuhasisi kuwa ndio waliosababisha ukosefu wa maji basi utakuwa punguani wa ajabu kuwahi kutokea
Na akaondoka kwa kuvunja rekodi ya wizi wa aina yake na kutia fora tangu tupate uhuru kwa kuiba matrillion ya kutosha
 
Back
Top Bottom