Vipaumbele.. Je sisi kama taifa vipaumbele vyetu ni vipi? Ninini? Je tuna sera gani mbadala kuhusiana na mambo ya dharura, ikiwemo dgarura kama hizi za mabadiliko ya tabia nchi?Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?
Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.
Aibu kweli kweli.
Na hao wazazi siwashangai kwakuwa kila hitaji la msingi huko kwao serikali imeshamaliza wacha waanze kudai usala wa watoto wao mashuleni, tz mtoto wa shule anaweza kufia shuleni kwa kupigwa na mwalimu au kutumbukia chooni na wazazi wakabaki kutumbua mimacho tuHivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
AiseeHivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
Shida na raia nao ndio tatizo mkuuNi aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?
Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.
Aibu kweli kweli.
Hivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
Ni sahihi waTanzania wengi ni mbwa na mazezeta aisee uoga,chuki,nongwa na wivu ndiyo vitu vyaoHivyo vyote haviwezi kupatkana kama wanaongozwa ni mazezeta, juzi tu, kuna jimbo marekani wazazi wameandamana baada ya watoto wao kuona mende shuleni kwao.
Kama.hakuna maji kunyweni beerNi aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi?
Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani.
Aibu kweli kweli.
Na akaondoka kwa kuvunja rekodi ya wizi wa aina yake na kutia fora tangu tupate uhuru kwa kuiba matrillion ya kutoshaAliyejenga flyover alifanikiwa kuhakikisha maji yapo ya kutosha, umeme upo muda wote na kila raia anachapa kazi kama inavyotakiwa
Baada ya kuondoka yeye kila kitu kimepanguliwa na kama ujuavyo kila unapomleta mtaalamu/mtu mpya ni lazima naye aje na mambo yake anayohisi ni ya maana kuliko mtangulizi wake
Ikiwa utalaumu ujenzi wa flyover na aliyeuhasisi kuwa ndio waliosababisha ukosefu wa maji basi utakuwa punguani wa ajabu kuwahi kutokea