JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
basi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao mombasa akaamua kuomba talaka basi bwana king kaamua kumpa talaka tatu kabisa
Habari nyingine ni kwamba bwana majizzo sasa hivi anajisevia mtoto mzuri wa A town vee money haijajulikana mara moja kama yule mtangazaji wa kiume wa ile redio nanihii hataona wivu kama ule alikokuwa anaumuonea kistuli

UPDATE:: issue ya Roma inaonekana ni kiki sababu mwenzake stamina naye eti kagombana na mkewe so definitely anytime wanatoa nyimbo,kama kawaida ya upuuzi mpya wa bongo kwa sasa nyimbo haitoki bila kufanya maujingaujinga ya ku grab attention.
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
Kama ni kweli wewe ni kidume bhasi tunauomba uongozi wa jamii forum ubatilishe hilo angalau kwakukuita female hauwezi kua mbea hivi
umelike post ya umbeya kisha uka comment kisha ukakandia.Uko sawa kichwani kweli?
 
umelike post ya umbeya kisha uka comment kisha ukakandia.Uko sawa kichwani kweli?
Mkuu, una wasi wasi na uanaume wako? Kwa nini unatumia jina la kutuaminisha kuwa wewe ni dume? Mtizamo wako tu na maandishi unaweza kuwajulisha watu kuwa wewe ni wa jinsia gani!
 
wacha wee unakunya nini dada? naona unapenda michezo ya choo hadi umeweka kwenye avatar.

Mwanamke pekee ndio anayeweza kuandika hivi,hata uwezo wako wa kutazama na kuichambua picha ni wakike tena single mother
 
Mkuu, una wasi wasi na uanaume wako? Kwa nini unatumia jina la kutuaminisha kuwa wewe ni dume? Mtizamo wako tu na maandishi unaweza kuwajulisha watu kuwa wewe ni wa jinsia gani!
kwani hata ikiwa jinsia ya kike kuna shida gani/ hakuna wanawake humu?halafu mara nyingi mnaoongelea mambo hayo ndo kina james delicious mnapumuliwa visogoni kutwa mara tatu kama dose ya panadol
 
kwani hata ikiwa jinsia ya kike kuna shida gani/ hakuna wanawake humu?halafu mara nyingi mnaoongelea mambo hayo ndo kina james delicious mnapumuliwa visogoni kutwa mara tatu kama dose ya panadol
Jiamini mkuu. Huna haja ya kujiita Dume. Hiyo in inferiority complex...
 
naona mashoga mmeunganisha nguvu au thread inawahusu nini?shoga mwenzenu wa redioni bwanake anamchukua vee money roho imewauma?shubamit
Huyo jama atakuwa na matatizo ya kisaikolojia. Hata mie nimemuuliza kwa nini anajiita Dume. Huenda hana uhakika kama watu wengine wanamuona kama yeye ni Dume mpaka ajitangaze!
[/QUOTE
 
sasa hii ni thread ya umbeya nenda kwenye jukwaa la biashara kaongee hayo
Hapana mkuu. Sio kwamba nakuchukia. Mie nakwambia kwa nia nzuri ili ikusaidie kwenye maisha ya nje ya JF. Jiamini... Hata uwe mfupi kama joti au uwe na kibamia. Hilo halikuondolei uanamme wako... Enjoy...
 
Hizi ndoa za TRANS- NATIONAL ni za kisanii na haziwezi kudumu. Tofauti ya mila na desturi tangu mtu amezaliwa hadi anakuwa mtu mzima ni ngumu kuja kupata muunganiko.Kuna mtu anampenda mtu kwenye starehe ama kwa ajili kaimba vizuri ama kavaa vizuri nk. na kufikiri maisha ya ndoa yatakuwa hivyo milele. Sasa unapoishi na mtu kuanzia asubuhi hadi jioni ndio vile vitabia ambavyo vilikuwa vimejificha vinaanza kuonekana kama sio uvumilivu wa kutengeneza kitu chenu kipya kuparaganyika ni pa kufikia tuu. Kwenye muungano wowote uwe wa kindoa amba wa kisiasa lazima kila mmoja akubali kupoteza sehemu ya mazoea na uhuru wake na kukubali kupokea mazoea mapya la sivyo tutakuwa tunaitwa mashemeji wa matalaka tuu
 
Back
Top Bottom