nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
basi ndo hivyo bana ALi kiba ndoa chali na Roma pia,haijajulikana mara moja sababu ya issue ya Roma ila kwa ali kiba ni kwamba mwana dada alichoka madharau ya king kiba kalalamika sana kwao mombasa akaamua kuomba talaka basi bwana king kaamua kumpa talaka tatu kabisa
Habari nyingine ni kwamba bwana majizzo sasa hivi anajisevia mtoto mzuri wa A town vee money haijajulikana mara moja kama yule mtangazaji wa kiume wa ile redio nanihii hataona wivu kama ule alikokuwa anaumuonea kistuli
UPDATE:: issue ya Roma inaonekana ni kiki sababu mwenzake stamina naye eti kagombana na mkewe so definitely anytime wanatoa nyimbo,kama kawaida ya upuuzi mpya wa bongo kwa sasa nyimbo haitoki bila kufanya maujingaujinga ya ku grab attention.