nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #21
ku enjoy nini sasa? yaani wewe ndiye unanipa ruhusa ya ku enjoy ama la? embu chapa lapa bana,majukwaa yako mengi nenda hata jukwaa la kilimo ka discuss matikiti majiHapana mkuu. Sio kwamba nakuchukia. Mie nakwambia kwa nia nzuri ili ikusaidie kwenye maisha ya nje ya JF. Jiamini... Hata uwe mfupi kama joti au uwe na kibamia. Hilo halikuondolei uanamme wako... Enjoy...
sasa unafanya nini kwenye hii thread kubishana na wanawake?
Hapana mkuu. Sio kwamba nakuchukia. Mie nakwambia kwa nia nzuri ili ikusaidie kwenye maisha ya nje ya JF. Jiamini... Hata uwe mfupi kama joti au uwe na kibamia. Hilo halikuondolei uanamme wako... Enjoy...
nipo kwenye mood nzuri sana naomba nikupuuze kwa leo maaana nimetoka kwenye ban uliza wanaonijua huwa wnaanza kama wewe baadaye wanaenda kulia kwa moderators,nimeamua kukupuuzaAisee nikisikia harufu ya kike dushe lazima ishtuke usishangae uwepo wangu hapa
Mkuu watu kama hawa wana gender yao inaitwa wavulana wa dar.[emoji41][emoji41][emoji41]
Kama ni kweli wewe ni kidume bhasi tunauomba uongozi wa jamii forum ubatilishe hilo angalau kwakukuita female hauwezi kua mbea hivi
inashangaza,kwenye jukwaa hili kuna majitu hayakauki kusoma umbeya halafu yakishamaliza yanajifanya kama yameukasirikia umbeya na kujinyesha kwamba wao ni watu serious sana wenye akili nyingi kumbe kama wamesoma sana utakuta ni wanafunzi wa profesa kabudi pale jalalaniUnaleta mada halafu unazama kwenye udambwi wa matusi, yaani mada inaachwa na kuanza kushambuliana bila sababu!!
Mkuu watu kama hawa wana gender yao inaitwa wavulana wa dar.
kwani hata ikiwa jinsia ya kike kuna shida gani/ hakuna wanawake humu?halafu mara nyingi mnaoongelea mambo hayo ndo kina james delicious mnapumuliwa visogoni kutwa mara tatu kama dose ya panadol