JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

JIJI ZITO JAMANI: Ndoa za Ali Kiba na Roma zavunjika. Majizo kamtosa Lulu yuko na Vanesa Mdee

Hapana mkuu. Sio kwamba nakuchukia. Mie nakwambia kwa nia nzuri ili ikusaidie kwenye maisha ya nje ya JF. Jiamini... Hata uwe mfupi kama joti au uwe na kibamia. Hilo halikuondolei uanamme wako... Enjoy...
ku enjoy nini sasa? yaani wewe ndiye unanipa ruhusa ya ku enjoy ama la? embu chapa lapa bana,majukwaa yako mengi nenda hata jukwaa la kilimo ka discuss matikiti maji
 
Unaleta mada halafu unazama kwenye udambwi wa matusi, yaani mada inaachwa na kuanza kushambuliana bila sababu!!
 
Unaleta mada halafu unazama kwenye udambwi wa matusi, yaani mada inaachwa na kuanza kushambuliana bila sababu!!
inashangaza,kwenye jukwaa hili kuna majitu hayakauki kusoma umbeya halafu yakishamaliza yanajifanya kama yameukasirikia umbeya na kujinyesha kwamba wao ni watu serious sana wenye akili nyingi kumbe kama wamesoma sana utakuta ni wanafunzi wa profesa kabudi pale jalalani
 
huyo unayemsapoti ka like umbeya na ka comment na wewe pia ume comment kwenye jukwaa la umbeya ,mnafanya nini kwenye hili jukwaa?mimi na post hadi kwenye majukwaa yote kasoro kilimo na biashara nawahakikishia ufahamu wangu hamuufikii hata kidogo maboya nyie watoootoooo wa little
Mkuu watu kama hawa wana gender yao inaitwa wavulana wa dar.
 
Ye mwenyewe kaanzisha uzi wa kimbea leo tu asikukaushe damu achana nae
kwani hata ikiwa jinsia ya kike kuna shida gani/ hakuna wanawake humu?halafu mara nyingi mnaoongelea mambo hayo ndo kina james delicious mnapumuliwa visogoni kutwa mara tatu kama dose ya panadol
 
Naombea ziwe gossip tu. Kiba na mkewe wameleta katoto kazuri

Roma na mkewe wana familia bomba sana

Jizo(kitenga uchumi cha familia ya Lulu)napo pasiwe na ukweli maana bibi atarudi kuiba wanaume za watu. Abanwe huko huko kwa jizo
 
Hayo yanawahusu mlioko huko dar, sie wa mikoani bado tuna uhaba wa miundombinu kama maji, barabara nk.
 
Roma tenaaa maskini,ila kiba mpuuzi aluulizwa kwa interview akiwa na mkewe he ataongeza mke mbeleni et kajibu Hilo tuweke pending ,Kiume alitakiwa ajibu sina mpango huo na sitarajii,tatizo hana shule na hajishushi
 
Hahaha

Ukistaajabu ya warumi utayaona ya nzagabanini
 
Back
Top Bottom