Jijini Daresalama.

Jijini Daresalama.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Natumaini mko fiti..
Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule wanaita Mtogole,niliyoyaona hapana . Nyumba ya jirani kuna hawa watu sijui kabila gani,lakini kilichonivutia ni mtindo wa maisha yao.
Nyumba ina room 3,choo na jiko. Kimoja ni cha mzee zima na my wife wake,chapili kuna mwanae wa kike na mumewe wana watoto wawili cha tatu mwanae wa kiume na mkewe nao wana watoto watatu. Watoto wale hulala ukumbini daily,pamoja na hausi geli kama hiyo haitoshi na mama wa maza hausi kafika jana eti kaja kusalimia na kupumzika kidogo. Sasa mkoromije mimi najiuliza humo ndani wanaishi vipi jamani !! Nikaona kumbe Daresalama kiboko watu na wakwe zao nyumba moja,choo kimoja.
Aah kesho narudi Misungwi mie siyawezi haya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msalimie mawe ma 3 hapo misungwi.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Ndo maana sipendagi kukaribisha watu wa mkoa kwangu, hamuoni mema zaidi mnaona penye hitilafu. Jamaa kaona akusaidie sehemu ya kufikia ila hilo hujaliona umeona jinsi anavoishi kwa kubanana na najua ukifika kwenu huko kolomije utamtangaza kijiji kizima.
 
Hayo ya kubanana umesema wewe,mie nimefurahishwa na utamaduni wao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini mko fiti..
Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule wanaita Mtogole,niliyoyaona hapana . Nyumba ya jirani kuna hawa watu sijui kabila gani,lakini kilichonivutia ni mtindo wa maisha yao.
Nyumba ina room 3,choo na jiko. Kimoja ni cha mzee zima na my wife wake,chapili kuna mwanae wa kike na mumewe wana watoto wawili cha tatu mwanae wa kiume na mkewe nao wana watoto watatu. Watoto wale hulala ukumbini daily,pamoja na hausi geli kama hiyo haitoshi na mama wa maza hausi kafika jana eti kaja kusalimia na kupumzika kidogo. Sasa mkoromije mimi najiuliza humo ndani wanaishi vipi jamani !! Nikaona kumbe Daresalama kiboko watu na wakwe zao nyumba moja,choo kimoja.
Aah kesho narudi Misungwi mie siyawezi haya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wape Hi sana apo Koromije maeneo ya Mbela....
 
Wanaume wa mkoani kwa umbea
Hawana tofauti na hawa
umbea.jpg
 
Ni sisi tu hata tukiwa na matatizo hatusaidiani. Wahindi wanaishi hivyo na kila mtu anajenga ya kwake tena wahindi wanawake wote wanalala pamoja na wanaume hivyo. Waliooa wanaopata faragha mchana wakati watoto wako shule. Hayo ndiyo maisha ya mjini
 
na wachina pia familia tatu unakuta zinaishi nyumba moja sitting room kuna bunk beds za watoto na utashangaa chooni na jikoni ni kusafisha sana
 
Natumaini mko fiti..
Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule wanaita Mtogole,niliyoyaona hapana . Nyumba ya jirani kuna hawa watu sijui kabila gani,lakini kilichonivutia ni mtindo wa maisha yao.
Nyumba ina room 3,choo na jiko. Kimoja ni cha mzee zima na my wife wake,chapili kuna mwanae wa kike na mumewe wana watoto wawili cha tatu mwanae wa kiume na mkewe nao wana watoto watatu. Watoto wale hulala ukumbini daily,pamoja na hausi geli kama hiyo haitoshi na mama wa maza hausi kafika jana eti kaja kusalimia na kupumzika kidogo. Sasa mkoromije mimi najiuliza humo ndani wanaishi vipi jamani !! Nikaona kumbe Daresalama kiboko watu na wakwe zao nyumba moja,choo kimoja.
Aah kesho narudi Misungwi mie siyawezi haya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, itakuwa walikua ndo wamemaliza Hbd au tanzia ya baby mwenye nyumba [coz hujamtajapo]
Pia sababu ulikaapo mda kidogo[emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom