ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Natumaini mko fiti..
Basi bana juzi kati nikatia maguu kwenye basi,natoka koromije mie eti naenda kuosha macho jijini kwa blaza Paulo baada ya kuuza pamba yangu kijijini. Sinikafikia mtaa ule wanaita Mtogole,niliyoyaona hapana . Nyumba ya jirani kuna hawa watu sijui kabila gani,lakini kilichonivutia ni mtindo wa maisha yao.
Nyumba ina room 3,choo na jiko. Kimoja ni cha mzee zima na my wife wake,chapili kuna mwanae wa kike na mumewe wana watoto wawili cha tatu mwanae wa kiume na mkewe nao wana watoto watatu. Watoto wale hulala ukumbini daily,pamoja na hausi geli kama hiyo haitoshi na mama wa maza hausi kafika jana eti kaja kusalimia na kupumzika kidogo. Sasa mkoromije mimi najiuliza humo ndani wanaishi vipi jamani !! Nikaona kumbe Daresalama kiboko watu na wakwe zao nyumba moja,choo kimoja.
Aah kesho narudi Misungwi mie siyawezi haya..
Sent using Jamii Forums mobile app