JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

Aise hapa CDA mbona polisi wanapenda sana kupiga ambush?? Siku wakinibahatisha kunidaka halaf nikapigwa picha na watu wa magazet ya shigongo sijui nitaiweka wapi sura yangu
 

Oh yeah?

Ngoja nifunge safari nije hapo Dodoma nile bata na totoz za Kigogo....

Sijawahi kumla mchuchu wa Kigogo bado!

Nataka nimalize makabila yote makubwa makubwa Tanzania...
 
ila kamanda gilles muroto katuharibia sana sisi "mafisi" na lile agizo lake la kufunga bar saa sita usiku kukamata madada poa.

nakumbuka miezi michache iliyopita mimi na kampani yangu tulifanya balaa kubwa sana pale chako ni chako bar.

tulikula bata mpaka mishale ya saa kumi alfajiri halafu baada ya hapo kila mmoja wetu aliondoka na totoz kali za udom.

juzi kati nimepita hapo mida yaa saa saba usiku nikiwa natokea mwanza, nimepakuta pako doro sana.

ila sio siri dodoma hatari sana aisee...but ili uifaidi inabidi mfukoni uwe financially stable....yaani unaweza kumaliza viwanja vyote kwa usiku mmoja, maana sehemu zake za kula bata hazipo mbalimbali sana.
 
Utakuwa mgogo wew
Dodoma nayo ni sehem
 

Hivi punde

fanya update ndugu
 
Naam inawezekana ila sasa,
Watakuwa na uhusiano mkubwa na 'Ngaribaz' kwa walio wengi.
Wakubwa nadhani mnanielewa.
Na wamekatwa si mchezo mkuu,ukikuta choke ipo (haijakatwa)bac huyo sio mzawa wa Dodoma au ni kizazi kipya
 
Miji yote uliyotaja na hao wanawake wake, tabia zao zinajulikana hapa Tanzania. Nafikiri wako huko tu kwa ajili ya kuliwa na wabunge na wafanyabiashara.
 
Dah nakakumbuka kadem kangu ruth kidowezi
kafupi keusi
sura ya baba.
chuchu saa nne.
kipotable flani saafi
zamani sana tulisumbuana mpk basi sijui kako wapi,
Hapo dom kitaa enzi za kucheza disco NK na kule iringa road shilam discotec.
Kulikua hamna bar zote mnataja saa hizi.
Sana sana Dodoma Hotel na mabanda ya mama ntilie tu na vibanda vya gongo na red wine ilikuwepo ya magendo mabandani sokoni
Hiyo ndo ilikua Dom.
Hao kuku wengine toka sehemu zote mnataja walikua mahousegirl tu unakamata unatafuna anytime.
Siku hizi wamekua main chick🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…