Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

Acha bangi, unit moja kwa mwezi?
Nimeshangaa na kucheka sana!... Maana hata kibatari tu ukikiunga kwenye umeme .. kinatumia unit 5 Kwa mwezi... Sembuse jiko! Unit 1!? How!!?

Hivi anatuonaje!? Ama anatuchukuliaje huyu jamaa!?
 
Kwa hiyo mtu akiamua kupika kwa kutumia umeme pekee bila hayo makorokoro ya mkaa, sijui kokoto etc yani apike siku chakula kwa siku nzima atatumia only 1 unit kwa mwezi sio?
Au utuambie hiyo unit moja inatumika kwenye shughuli gani
 
Kwa mm nilivyo muelewa ili nijiko kama yale ya wakaanga chipsi yana feni ya kupuliza moto uwake kwa nguvu ss iyo feni ukiunga na umeme itakula 1unit kwa mwezi mzm
Swali iyo adapter unaotumia ina kula watt ngapi mkuu niji akikishie kwamba ni kwl kwa mwezi naweza tumia 1unit
 
Cold Free jibu la swali lako hili hapa
 
Nimeshangaa na kucheka sana!... Maana hata kibatari tu ukikiunga kwenye umeme .. kinatumia unit 5 Kwa mwezi... Sembuse jiko! Unit 1!? How!!?

Hivi anatuonaje!? Ama anatuchukuliaje huyu jamaa!?
Hawa wanatangaza biashara zao huwa wanawaona watu mazwazwa sana.
 
Habari. Nimeipenda project yk lakini ninakushauri yafuatayo
1. Pasuka kichwa ufanye maboresho ktk finishing ya product yako. Hakikisha unakuja na smooth angles na hiyo panel ya switches sijui uifanye vipi ili iwe switches ziwe well alligned.
2. Fikiria kuhusu style yenye mvuto. Product yako inaweza kuwa ni nzuri sn lakini umetengeneza kwa design ambayo imekosa mvuto. Fikiria kutengeneza product ambayo kutokana na mvuto wake itakuwa na umri mrefu sokoni na utaweza kuishindanisha vizuri katika soko la ndani ya nchi na nje ya nchi.
3. Picha ulizotumia ktk kujitangaza zinahitaji maboresho. Fanya uchunguzi mitandaoni uone wengine wanavyopiga picha za matangazo ya bidhaa zao.
Nakutakia mafanikio mazuri katika project yako hii
 
Back
Top Bottom