ThePromise inaweza kuondoa yale yaliyo ng'ang'ania au kwa kuendelea hapo nilipofikia!!Vim powder hua inasaidia sana kutoa madoa mie ndo hua naitumia siku zote na jiko langu linang'ara!
ok,lakini BelindaJacob unaweza tu hata kunipatia jina la hiyo inayo patikana huko ulipo nianzie hapo kuulizia,maana huko supermarket wanaweza kunishika masikio!!kwa tz sina hakika ni product gani unaweza kusafisha, enda hata supermarket karibu nawe uulize watakusaidia mf.shoprite,game etc.
In future, jitahidi kusafisha jiko kila mara umalizapo kupika ili vitu visinate kwa jiko muda mrefu..na inaleta raha jiko kuwa safi tu maara baada ya kupika.
ok,waweza niambia japo mojawapo ya hizo spray bibie kisukari,natanguliza shukrani!!jiko usilisafishe na steel wire,unaikwangua rangi halisi.either weka foil au ukishapika liache lipoe,lizime un plug waya,nyunyuzia maji yenye sabuni sehemu zenye uchafu,sabuni iwe nyingi kidogo inasaidia kuondoa uchafu wa mafuta kwenye jiko.usifute wacha kwa muda mrefu kidogo,chukua kitambaa chako ukifuta uchafu wote unatoka na linakuwa safi.ni vizuri kila unapomaliza kupika,unafanya hivyo,jiko halitokuwa chafu.au njia nyengine unanunua spray super market,maalum za kusafishia jiko
ok,lakini BelindaJacob unaweza tu hata kunipatia jina la hiyo inayo patikana huko ulipo nianzie hapo kuulizia,maana huko supermarket wanaweza kunishika masikio!!
Tumia hii
kwa tz sina hakika ni product gani unaweza kusafisha, enda hata supermarket karibu nawe uulize watakusaidia mf.shoprite,game etc.
In future, jitahidi kusafisha jiko kila mara umalizapo kupika ili vitu visinate kwa jiko muda mrefu..na inaleta raha jiko kuwa safi tu maara baada ya kupika.
jiko usilisafishe na steel wire,unaikwangua rangi halisi.either weka foil au ukishapika liache lipoe,lizime un plug waya,nyunyuzia maji yenye sabuni sehemu zenye uchafu,sabuni iwe nyingi kidogo inasaidia kuondoa uchafu wa mafuta kwenye jiko.usifute wacha kwa muda mrefu kidogo,chukua kitambaa chako ukifuta uchafu wote unatoka na linakuwa safi.ni vizuri kila unapomaliza kupika,unafanya hivyo,jiko halitokuwa chafu.au njia nyengine unanunua spray super market,maalum za kusafishia jiko