Jiko chafu

Jiko chafu

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
wakuu naomba masaada wenu!!yaani jiko langu (la umeme) limechafuka kutokana na mchuzi, unga, na lojolojo zingine zinazo mwagikia wakati wa kupika,nimejaribu kuzisugua na stili waya lakini wapi!!ninaosha na nini wa ndugu ili jiko ling'ae!!!!!
 
wataalam wa usafi nawasubiri!!
 
kwa tz sina hakika ni product gani unaweza kusafisha, enda hata supermarket karibu nawe uulize watakusaidia mf.shoprite,game etc.
In future, jitahidi kusafisha jiko kila mara umalizapo kupika ili vitu visinate kwa jiko muda mrefu..na inaleta raha jiko kuwa safi tu maara baada ya kupika.
 
Vim powder hua inasaidia sana kutoa madoa mie ndo hua naitumia siku zote na jiko langu linang'ara!
 
Vim powder hua inasaidia sana kutoa madoa mie ndo hua naitumia siku zote na jiko langu linang'ara!
ThePromise inaweza kuondoa yale yaliyo ng'ang'ania au kwa kuendelea hapo nilipofikia!!
 
Last edited by a moderator:
kwa tz sina hakika ni product gani unaweza kusafisha, enda hata supermarket karibu nawe uulize watakusaidia mf.shoprite,game etc.
In future, jitahidi kusafisha jiko kila mara umalizapo kupika ili vitu visinate kwa jiko muda mrefu..na inaleta raha jiko kuwa safi tu maara baada ya kupika.
ok,lakini BelindaJacob unaweza tu hata kunipatia jina la hiyo inayo patikana huko ulipo nianzie hapo kuulizia,maana huko supermarket wanaweza kunishika masikio!!
 
Last edited by a moderator:
Ikishasafisha tumia aluminium foil kufunikia....angalia hapa chini kwa maelekezo zaidi

Last edited by a moderator:
MadameX ngoja nijaribu hii kitu!hata kabla sijaisafisha ili lisiendelee kuchafuka!
 
Last edited by a moderator:
jiko usilisafishe na steel wire,unaikwangua rangi halisi.either weka foil au ukishapika liache lipoe,lizime un plug waya,nyunyuzia maji yenye sabuni sehemu zenye uchafu,sabuni iwe nyingi kidogo inasaidia kuondoa uchafu wa mafuta kwenye jiko.usifute wacha kwa muda mrefu kidogo,chukua kitambaa chako ukifuta uchafu wote unatoka na linakuwa safi.ni vizuri kila unapomaliza kupika,unafanya hivyo,jiko halitokuwa chafu.au njia nyengine unanunua spray super market,maalum za kusafishia jiko
 
ok,waweza niambia japo mojawapo ya hizo spray bibie kisukari,natanguliza shukrani!!
 
Last edited by a moderator:
Tumia hii
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1355605485741.jpg
    uploadfromtaptalk1355605485741.jpg
    4.2 KB · Views: 694
Tumia vinegar (nadhani kwa Kiswahili inaitwa siki). Mwagilia juu ya uchafu vinegar ya kutosha, iache kama nusu saa hivi, halafu safisha jiko lako kama kawaida,
 
mimi hutumia sabuni ya AXION kusafisha jiko langu inaondoa mafuta yaliyoganda
 
Umejuaje yuko tz?
Lol, kama yuko tz cha kusafishia ni mchanga tu. Akachote baharini
kwa tz sina hakika ni product gani unaweza kusafisha, enda hata supermarket karibu nawe uulize watakusaidia mf.shoprite,game etc.
In future, jitahidi kusafisha jiko kila mara umalizapo kupika ili vitu visinate kwa jiko muda mrefu..na inaleta raha jiko kuwa safi tu maara baada ya kupika.
 
Weka vim kila mahali, miminia handy andy juu yake (ipo kwenye kila supermarket). Baada ya nusu saa sugua na ile scrubber (zinakuwaga nyekundu ama kijani). Baada ya hapo futa na kitambaa chenye maji. Unaweza kuweka bicarbonate of soda kwenye maji kwa ajili ya kuleta harufu nzuri.
 
jiko usilisafishe na steel wire,unaikwangua rangi halisi.either weka foil au ukishapika liache lipoe,lizime un plug waya,nyunyuzia maji yenye sabuni sehemu zenye uchafu,sabuni iwe nyingi kidogo inasaidia kuondoa uchafu wa mafuta kwenye jiko.usifute wacha kwa muda mrefu kidogo,chukua kitambaa chako ukifuta uchafu wote unatoka na linakuwa safi.ni vizuri kila unapomaliza kupika,unafanya hivyo,jiko halitokuwa chafu.au njia nyengine unanunua spray super market,maalum za kusafishia jiko

Kwenye swala la kukwangua rangi inategemea na aina ya ragi iliyopigwa kwenye jiko lako...kuna aina nyingine za rangi hazikwanguki hata ukisugua na steel wire.
 
Uchafu sugu ulioganda kwa miaka mingi ni taabu sana kuutoa kwa hizi sprays (chemical concoctions). Stove tops nyingi zina coating ya enamel. This is a ceramic compound baked on the metal. Even though ni ngumu, kusugua kwa kutumia abrassive agents inaweza kuwacha michirizi isiyovutia. Sasa fanya hivi:

Solution
Hardened oils (urojo, madikodiko, nk.) incinerate at around 750-800[SUP]o[/SUP]F (400-430[SUP]o[/SUP]C) while enamel is safe at these temperatures. This is the principle of SELF-CLEANING ovens. Ukiweza kulitoa hilo bati la juu ya jiko lako na kuli-bake at these temperatures, uchafu wote sugu utageuka kawa unga. Ukipitisha maji tu litawaka kama jipya.

Utata- utali-bake wapi?
Kama unayo au una rafiki mwenye self-cleaning oven kubwa, muombe uweke top yako wakati u(a)na-run self-cleaning cycle.

Kama hii haiwezekani, unaweza ukajaribu kutumia propane/oxy-acetylene torch (at your friendly garage) to clean these soiled areas (try on a small inconspicuous area first. These flames are hot and can burn holes on the metal so be careful). Please, DO NOT use these torches indoors with your stove top still attached to the unit.

Ushauri uliotolewa na wana JF hapo juu (kama kusafisha mara baada ya kupika, foils, nk.) ni wa muhimu sana ili kuliweka jiko lako katika hali ya usafi. In fact, somo la kwanza la mapishi (Cooking 101): anza na jiko safi, maliza na jiko safi. Hii sio stove tu bali vyombo vya kupikia, sink, floor, nk.
 
Back
Top Bottom