jiko! jiko! jiko la kutumia gesi linauzwa!!!

-Jiko dogo la gesi la plate 2 kubwa na plate moja ndogo ya kati linauzwa 55,000Tshs.
-Jiko liko peke yake bila mtungi wa gesi.(Lipo kama linavyoonekana kwenye picha)
-Jiko limeshatumika kwa muda wa mwaka mmoja na nusu hivi, na mara ya mwisho kulitumia ilikuwa mwezi wa sita mwaka huu.
-Ni aina ya HITACHI.
-Lipo kwenye hali nzuri.
-Anayeliuza ni msela (Bachelor), ana kajiko kadogo ka gesi, hili analoliuza halitumii, hivyo limekaa tu uvunguni mwa kitanda toka mwezi wa sita.
-Jiko lipo Dar, Kinyerezi, karibu na shule ya secondary kinyerezi. Kwa maelezo zaidi mpigie kwenye namba hii 0689653969.
-Picha ya jiko imewekwa hapo chini.

Note: SMS, whatsapps, hazitajibiwa. Namba ya mawasiliano hiyo hapo juu. Waweza piga.
Asanteni na siku njema/ Usiku mwema! kubwa na

Eti sms, whatsapps hazitajibiwa??? Unampiga nani mkwala. Baki na mjiko wako. Watu wanaenda kununua brand new tena yenye guarantee kwa 50k.

Huo mchuma chakavu wako kauuze kwa kilo.
 
Asante. Kuna mtu amelihitaji na amelichukua hivyo hivyo (mchuma chakavu). Kama umeona halikufai wewe, wapo wengine wanalihitaji. Sijapika mtu mkwara, kusema sms na whatsapps hazitojibiwa nina maana yangu. Samahani kama umenielewa vibaya kwa kufikiri nilikuwa natoa mkwara. Tambua kuna vitu original (imara) na mchina. Bei sio ishu, ishu ni ubora! Jiko jipya kama hili 50K wapi hiyo!! Ka uko sahihi basi ilo jiko ni la kukaa miezi tu kabla halijafa. Nenda pale supermarket ya airwing jeshini ukonga ukaone majiko kama haya original (maduka ya jeshi hayabahatishi kwenye ubora) alafu ucheki bei. Pia Aliyelichukua kalikagua vizuri kabisa na karidhika na jinsi lilivyo. Ila asante kwa ushauri, safari ijayo nitauza kwa kiloz.
 
Eti sms, whatsapps hazitajibiwa??? Unampiga inani mkwala. Baki na mjiko wako. Watu wanaenda kununua brand new tena yenye guarantee kwa 50k.

Huo mchuma chakavu wako kauuze kwa kilo.

Hata wewe?????
 
Asante. Kuna mtu amelihitaji na amelichukua hivyo hivyo (mchuma chakavu). Kama umeona halikufai wewe, wapo wengine wanalihitaji. Sijapika mtu mkwara, kusema sms na whatsapps hazitojibiwa nina maana yangu. Samahani kama umenielewa vibaya kwa kufikiri nilikuwa natoa mkwara. Tambua kuna vitu original (imara) na mchina. Bei sio ishu, ishu ni ubora! Jiko jipya kama hili 50K wapi hiyo!! Ka uko sahihi basi ilo jiko ni la kukaa miezi tu kabla halijafa. Nenda pale supermarket ya airwing jeshini ukonga ukaone majiko kama haya original (maduka ya jeshi hayabahatishi kwenye ubora) alafu ucheki bei. Pia Aliyelichukua kalikagua vizuri kabisa na karidhika na jinsi lilivyo. Ila asante kwa ushauri, safari ijayo nitauza kwa kiloz.
Good boy!!
 
Back
Top Bottom