jiko! jiko! jiko la kutumia gesi linauzwa!!!


Eti sms, whatsapps hazitajibiwa??? Unampiga nani mkwala. Baki na mjiko wako. Watu wanaenda kununua brand new tena yenye guarantee kwa 50k.

Huo mchuma chakavu wako kauuze kwa kilo.
 
Eti sms, whatsapps hazitajibiwa??? Unampiga nani mkwala. Baki na mjiko wako. Watu wanaenda kununua brand new tena yenye guarantee kwa 50k.

Huo mchuma chakavu wako kauuze kwa kilo.

Asante. Kuna mtu amelihitaji na amelichukua hivyo hivyo (mchuma chakavu). Kama umeona halikufai wewe, wapo wengine wanalihitaji. Sijapika mtu mkwara, kusema sms na whatsapps hazitojibiwa nina maana yangu. Samahani kama umenielewa vibaya kwa kufikiri nilikuwa natoa mkwara. Tambua kuna vitu original (imara) na mchina. Bei sio ishu, ishu ni ubora! Jiko jipya kama hili 50K wapi hiyo!! Ka uko sahihi basi ilo jiko ni la kukaa miezi tu kabla halijafa. Nenda pale supermarket ya airwing jeshini ukonga ukaone majiko kama haya original (maduka ya jeshi hayabahatishi kwenye ubora) alafu ucheki bei. Pia Aliyelichukua kalikagua vizuri kabisa na karidhika na jinsi lilivyo. Ila asante kwa ushauri, safari ijayo nitauza kwa kiloz.
 
Eti sms, whatsapps hazitajibiwa??? Unampiga inani mkwala. Baki na mjiko wako. Watu wanaenda kununua brand new tena yenye guarantee kwa 50k.

Huo mchuma chakavu wako kauuze kwa kilo.

Hata wewe?????
 
Good boy!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…