INAUZWA Jiko Koa kwa elfu 46 tu!

Kwa wale wa Dodoma,endapo ikitokea umeagiza jiko koa kwa njia ya BASI na umetingwa na kazi nyingine,usisite kufanya mawasiliano na Dodoma messengers, ufanyiwe delivery kutoka kwenye ofisi za kampuni ya BASI husika,hadi kwako.Mawasiliano: 0765920855/0779017650. Asante.
 
Linabajet matumizi ya mkaa

How? Linafanyaje kupunguza hiyo budget, kuna specification ya products yenye kuonesha kipimo/kilo/Calories/ etc? Any digits kwa hiyo budget?

Maharage ili yaive yanahitaji kwango cha moto X kwa muda Y.
Hapo itatofautiana na mkaa either wa Mwembe, Mkorosho, Mfenesi etc.

Anyway, usione nimeandika kinongwanongwa maana nishanunulishwa ma vitu kama haya halafu yakawa hayaleti kusudio..
 
Swali zuri sana. hizi nazo zitapita
 
Niliwahi tumia yale ya rwanda. Yako poa sana. Mkaa kidogo na likipata moto limepata.
Haya majiko mie ni mtumiaji mzuri so nayajua vilivyo
 
Ni Bei ya offer hii. Itabadilika February
 
Dodoma mpo?mtandaoni vipi mnapatikana kwenye tovuti ipi?
Maana haya ya kuweka namba tu,siku Hz Kuna wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…