Nipo serious,wakuu natafuta mchumba mnyamwezi awe anatoka tabora au sehemu yoyote ile.Ila awe radhi kuishi nje ya nchi,suala la elimu sibagui hata kama awe ameishia darasa la 7.Tahadhari najua kuna watu mtaiponda hii thread lakin nipo more than serious ewe binti wa kinyamwezi ambaye upo around 18 to 25 even women with 50+ yrs may be considered kwa hiyo na wenyewe pia wanakaribishwa.Cha msingi nimechokwa kuumizwa.KUMBUKENI BAHATI HAIJI MARA MBILI NA MiZIGO MiZITO NI YA KWETU SISI WANYAMWEZI.Nazsubir pm zenu niwafanyie usaili kwa kinyamwezi.