Jiko la kinyamwezi linatafutwa

Jiko la kinyamwezi linatafutwa

kutwamara3

Senior Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
170
Reaction score
27
Nipo serious, wakuu natafuta mchumba mnyamwezi awe anatoka Tabora au sehemu yoyote ile. Ila awe radhi kuishi nje ya nchi, suala la elimu sibagui hata kama awe ameishia darasa la 7.

Tahadhari najua kuna watu mtaiponda hii thread lakin nipo more than serious ewe binti wa kinyamwezi ambaye upo around 18 to 25 even women with 50+ yrs may be considered kwa hiyo na wenyewe pia wanakaribishwa.

Cha msingi nimechokwa kuumizwa.KUMBUKENI BAHATI HAIJI MARA MBILI NA MiZIGO MiZITO NI YA KWETU SISI WANYAMWEZI. Nazsubiri pm zenu niwafanyie usaili kwa kinyamwezi.
 
jiko,kwanini waliamua kuita jiko!!!!!

kwa sababu umechoka kuumizwa ndo unahitaji mke!!!!
 
mie mnyamwezi chotara nina 40 yrs nina watoto 4 kama utakuwa tayari tuendelee kuwalea am here.
nabeba hadi kilo 150 kazi ni kwako.
 
You are not mnyamwezi that is why you are complaining.

That is not a complaint, it is an observation. You do not know me to say that I am not Mnyamwezi. One could argue that Mnyamwezi is a fiction anyway.
 
Nipo serious,wakuu natafuta mchumba mnyamwezi awe anatoka tabora au sehemu yoyote ile.Ila awe radhi kuishi nje ya nchi,suala la elimu sibagui hata kama awe ameishia darasa la 7.Tahadhari najua kuna watu mtaiponda hii thread lakin nipo more than serious ewe binti wa kinyamwezi ambaye upo around 18 to 25 even women with 50+ yrs may be considered kwa hiyo na wenyewe pia wanakaribishwa.Cha msingi nimechokwa kuumizwa.KUMBUKENI BAHATI HAIJI MARA MBILI NA MiZIGO MiZITO NI YA KWETU SISI WANYAMWEZI.Nazsubir pm zenu niwafanyie usaili kwa kinyamwezi.

Ikiwa umetaja sifa za unayemtaka ungekamilisha na wewe kwa kuweka sifa zako ili kulifanya tangazo lako likamilike na livutie au likimbiwe.
 
Back
Top Bottom