Mwafrika mmoja Member Joined Mar 15, 2019 Posts 64 Reaction score 178 May 11, 2024 #1 Habari gani wakuu. Ninauza jiko la kuchomea nyama ni mpya kabisa. Unaweza kuchomea nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku. Linafaa kwa mgahawani, bar au hata barabarani kwasababu linabebeka. Bei yake ni Tsh 140,000 mazungumzo yapo !! Nicheki WhatsApp: 0683535699
Habari gani wakuu. Ninauza jiko la kuchomea nyama ni mpya kabisa. Unaweza kuchomea nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku. Linafaa kwa mgahawani, bar au hata barabarani kwasababu linabebeka. Bei yake ni Tsh 140,000 mazungumzo yapo !! Nicheki WhatsApp: 0683535699
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 May 11, 2024 #2 Weka na picha ya minyama inatoa moshi jikoni tutokwe na udende kidogo
Mwafrika mmoja Member Joined Mar 15, 2019 Posts 64 Reaction score 178 May 11, 2024 Thread starter #3 Makorokoro Bondeni said: Weka na picha ya minyama inatoa moshi jikoni tutokwe na udende kidogo Click to expand... We jamaa 😀 😀
Makorokoro Bondeni said: Weka na picha ya minyama inatoa moshi jikoni tutokwe na udende kidogo Click to expand... We jamaa 😀 😀
J Jamvi la Sotta New Member Joined Apr 29, 2024 Posts 3 Reaction score 0 May 16, 2024 #4 Bado lipo hili?