Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #241
Ni mimi, sasa si naishi peke yangu hapa au niite ushahidi?Oooh nimekiona auntie, ila siamini kama hazard ndio kapika.
Hapana hatujasahau 😎 😎Tushasahau[emoji41][emoji41]
Hadi wewe mamii?Hapana hatujasahau [emoji41] [emoji41]
Lete ushahidi.Ni mimi, sasa si naishi peke yangu hapa au niite ushahidi?
Hayupo online...Lete ushahidi.
Hizo Kilimanjaro chacheKimeivaa wakuu...
Ni mda wakusubiri ile kauli.."ngoja nimpe bodaboda uongee nae"[emoji1787]View attachment 1179153
Ipo nyagi mkuu...hyo ni starterHizo Kilimanjaro chache
I love you a zillion[emoji179][emoji179]I love you
Ni nani etiOooh nimekiona auntie, ila siamini kama hazard ndio kapika.
Nyagi zilishanishinda nikiwa mjini,Ipo nyagi mkuu...hyo ni starter
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kimeivaa wakuu...
Ni mda wakusubiri ile kauli.."ngoja nimpe bodaboda uongee nae"[emoji1787]View attachment 1179153
Ndio umeachiwa?[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jaribu mdogo mtu... K vantNyagi zilishanishinda nikiwa mjini,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kubwekaNenda serena pale au hyatt ingia jikon waangalie wanaondaa zile menyu halafu urudi hapa kubweka
[emoji1787][emoji1787] nimeachiwa na Nani Tena Shem lake?Ndio umeachiwa?
Anaekamatia goma hilo...hahahaa leo si unajua ni siku mnatutunuku shem?[emoji1787][emoji1787] nimeachiwa na Nani Tena Shem lake?
Daah umenisema directIla wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.
Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.