Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume unajua siri kumbe ukija chit-chat unakutana na thread yako
Hahahahahaha
Demiss ni namba ingine bana
 
Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.

Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.
Hakuna mashine duniani inayofanya kazi kwa uharaka, uhakika na umakini wa hali ya juu kama mwanaume anaemsubiri mpenzi wake "gheto"... Alisema baharia mmoja.
 
Kwa niaba ya mgeni naomba kuona picha ya kitanda, kilivyonyooka tuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]
Kama hivyo..
20180403_180133.jpeg
 
Back
Top Bottom