Ma lejendare tulielewa haraka hapa!Ndio ndio si unajua mgeni akija vyakula vinakua viwili sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma lejendare tulielewa haraka hapa!Ndio ndio si unajua mgeni akija vyakula vinakua viwili sasa..
Duu ww high classMchicha nayo mboga??Mchicha natumiaga kuwashia moto getoni kwangu.
Unaweza kukuta kashindia mihogo ya mia tano huyo...Duu ww high class
sometimes kuna wanawake wanapika kazi yao kupiga picha tu
😂😂😂Natafuta siku nichukue kilo 15 mje kupiga kikubwa mje na pombe tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
NdiooSi mtakuja marafiki zangu wa jf?
Mkuu vipi upo?? Najua utakua unaburudika na ksafari bariiiiidi[emoji482]Hahahahahaha hapo ni mim mkuu
Daaaaaaaaaah aiseeee
Watu mna dhambi kubwa huku duniani mpaka akhera
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nini shida antii
Hatari sanaHiyo kitu inatamanisha hatariii denja
Mkuu vipi upo?? Najua utakua unaburudika na ksafari bariiiiidi[emoji482]
Nipo ya 3 nataka nikalale
Ukifika ya 5 nishtue nikwambie kitu
Nipo ya 5 sasa hiv
Ya sita sijafungua
Ni kweli mkuu, tunajua tu kuila!!Hahaha hakuna wadada wanapika kitimoto..kwanza hawajui
Bro ntakucheck keshoNipo ya 3 nataka nikalale
Fungua tu mkuu narudi