kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe itakuwa ni kibonge kabisaUlafi, kila kitu kizuri natamani nikile.
Sema tu humu hakuna mtu anaye kujua 😂Niwatajie udhaifu ili mnizodoe Thubutuuu!!
Ibaki siri yangu tyuuu.!! 😹😹😹
Mkuu huo sio uzaifu, huo ni umahiri kabisaDah mm Nikikupenda ujue nimekupenda ww tuu na siwezi kukuacha labla uniache ww tuu
Mm naona n udhaifu mana wanawake ndio wanaitumia kama kigezo cha kuniachaMkuu huo sio uzaifu, huo ni umahiri kabisa
Basi mkuu huo uzaifu wako una manufaaMm naona n udhaifu mana wanawake ndio wanaitumia kama kigezo cha kuniacha
Mkuu kua makini na huo udhaifu usije ukaanza doziKila mwanamke namtaka.. Jamani niombeeni
Na umri huo ulio nao bado hujui kwamba hakuna mwanadamu mkamilifu?Udhaifu unatoka wapi Kwa men unayedindaa🤭
Ngoja nilewe narudiSema tu humu hakuna mtu anaye kujua 😂
Nina ndugu yangu Ana tabia kama yako au sjui ndo ww🤣.Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
Ninong'onezee mie tyuu uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niwatajie udhaifu ili mnizodoe Thubutuuu!!
Ibaki siri yangu tyuuu.!! [emoji81][emoji81][emoji81]