Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Udhaifu wangu mkubwa ni kusema sina yani ukija nililia shida serious au ukiwa na shida serious naweza kuuza hata viatu vyangu ili nikusaidie.

Ni wale watu ambao hupenda kuona mwenzake anafurahi ambaye anaweza kujiskia amani mwenzake akawa na 1B kuliko yeye kuwa na hiyo 1B
Boss Nina shida apa inataka kunitoa roho...fanya jambo
 
Sipendi watu wajue undani wangu, yaani kuna times hata wife sitaki ajue undani wangu, napenda kuficha issues zangu. Nikiona mtu wangu wa karibu kama wife anahadithia mambo yake kwa mtu tu nakuwa so irritated, nakasirika kabisa.
 
Udhaifu wangu mkubwa ni kusema sina yani ukija nililia shida serious au ukiwa na shida serious naweza kuuza hata viatu vyangu ili nikusaidie.

Ni wale watu ambao hupenda kuona mwenzake anafurahi ambaye anaweza kujiskia amani mwenzake akawa na 1B kuliko yeye kuwa na hiyo 1B
Huo sio udhaifu mkuu, hiyo ni roho nzuri kabisa
 
1: Ninajali amani ya nafsi yangu (inner peace) sanaaa ile sana nimepitiliza, kiasi kwamba mtu au kitu kinachoingilia hii amani nitajiepusha tu, inanicost baadhi ya mambo, vitu vya msingi natakiwa kufanya ila kwakua ndo sina amani navyo naviacha, naacha vitu naacha watu.

2: huwa sijipi umuhimu kwa mtu, kama unaona sina umuhimu napaki pembeni, sijipi umuhimu kwa mzazi, kwa mme, kwa ndugu hata kazini.
 
Back
Top Bottom