Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Mimi kumbukumbu za jana!
Zinanitesa sana haswa inapo fika leo, kola nikikumbuka jana ilivyo leta matokeo mabaya naona hata leo sitoboi
Hii imenisimasha sehemu sipigi hatua miaka zaidi ya kumi!
Kingine sijui kusema hapana, hata kama inagharama kiasi gani, kusema hapana nashindwa, nayo imenisimamisha kwenye maisha ya aina moja zaidi ya miaka kumi sasa.
 
Hii kitu mtu hawezi kuelewa kwa rahisi hasa hasa anaweza kudhani ni mjeuri, unajisikia, unajiona uko perfect, ukikosewa haujui kusamehe n.k ila wala sio hivyo kabisa.

Hii kitu kuna muda mtu unajiskia vibaya unatamani kubadilika ila ni ngumu haiwezekani.
ni sahihi mkuu, wa kulielewa hili ni wachache mfano mtoa mada kaquote post yako akisema kuwa 'wewe utakuwa mbinafsi' la hasha.

Huwa nakosa amani hiyo hiyo kumuona mwenzangu akipitia wakati mgumu sana kimaisha
Huwa ninajitoa sana pia.
 
Back
Top Bottom