Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Mimi kumbukumbu za jana!
Zinanitesa sana haswa inapo fika leo, kola nikikumbuka jana ilivyo leta matokeo mabaya naona hata leo sitoboi
Hii imenisimasha sehemu sipigi hatua miaka zaidi ya kumi!
Kingine sijui kusema hapana, hata kama inagharama kiasi gani, kusema hapana nashindwa, nayo imenisimamisha kwenye maisha ya aina moja zaidi ya miaka kumi sasa.
Sahau ya jana, usihofie yajayo, deal na ya sasa.
 
Back
Top Bottom