Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Ni wabongo au international?
Wabongo kibao unajiokotea tu kila unaemtaka unampata hakuna asieuza kule wengine wanajifanya hawauzi kumbe wanauza indirectly

Unampata kwa location mfano ukiwa gongo la mboto ukamtaka alie gongo la mboto unaset location tu wanakuja pale unachagua unamvutia Waya unaemtaka unaenda kujipigia

Nakupa code :

Ukiona a/C imeandikwa Open to chat halafu haina maelezo mengi wewe pita nae huyo uliza bei moja kwa moja usipoteze Muda wa salamu na upuuzi mwingine hawapendagi maelezo mengi uliza bei ukifika makubariano chukua namba mmalizane offline
 
Udhaifu wangu WA Kwanza mi msahaulifu Sana.Wa pili kuchukulia Kila kitu poa(nakuaga na majibu mepesi kwenye maswali magumu.)
Zamani ilikua na udhaifu WA kulia,kitu kidogo Tu michozi hiyo.Siku hizi naona kama naanza kua bandidu kwa mbaali.🏃🏃
Mkuu samahani naomba nikuulize...

Ushawahi kutumia mjani?
 
Wabongo kibao unajiokotea tu kila unaemtaka unampata hakuna asieuza kule wengine wanajifanya hawauzi kumbe wanauza indirectly

Unampata kwa location mfano ukiwa gongo la mboto ukamtaka alie gongo la mboto unaset location tu wanakuja pale unachagua unamvutia Waya unaemtaka unaenda kujipigia

Nakupa code :

Ukiona a/C imeandikwa Open to chat halafu haina maelezo mengi wewe pita nae huyo uliza bei moja kwa moja usipoteze Muda wa salamu na upuuzi mwingine hawapendagi maelezo mengi uliza bei ukifika makubariano chukua namba mmalizane offline
Wewe tena...😁😁
 
Mniombee tu, nina udhaifu mkubwa wa huruma, hata kwa watu nisiowajua. Nasaidia huu ni udhaifu wangu toka mdogo. Nikiona tu mtu ana uhitaji, pochi liko wapi. Na nisiposaidia nikiondoka nitasononeka usiku wote. Najiona nimefanya kosa kubwa sana. Sijui ni ugonjwa.
Mungu akubariki sana na Imani na Mimi unaweza nisaidia
 
Back
Top Bottom