Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Kuchangamana na pipo
Social anxiety...

Ila unaweza kujifunza namna ya kukabiliana na hilo tatizo kupitia makala mbalimbali zilizopo mitandaoni, au hata kutazama videos kule YouTube.
 
Social anxiety...

Ila unaweza kujifunza namna ya kukabiliana na hilo tatizo kupitia makala mbalimbali zilizopo mitandaoni, au hata kutazama videos kule YouTube.
Nikipengele dawa zimekataa
 
Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
I have discovered that I am a bit of an elitist.

I am still reflecting if that is a problem though.
 
Back
Top Bottom