Jikumbushe enzi za kuandika barua kwa mkono.

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Dear Juma Mwamnofu.

Hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Sisi sote tu wazima wa afya.
Dhumuni la kukuandikia barua hii ni kukujulisha mambo machache.
Siku hizi vitu vya KUZINDUA vimekuwa vya kutafuta kwa tochi kama TAKWIMU zileeeee za MAKUSANYO YA MAPATO YA TRA. Mpendwa CAG ameniomba nikuulize vipi kuhusu deni lake la 1.5?

Wasalime sana wauzaji wa mafuta na sukari.

Wako mtiifu Mwanajamiiforum wa msimu.
 
Nilikuwa na mwandiko mzuri sana nakumbuka nilikuwa napewa hadi tenda ya kuandika barua za watu (wapenzi).


Barua zangu nilikuwa nikimpa mwanamke akatae naenda kuifuata napeleka kwingineko.
Haaaa haaaa haaaa! Umeua mkuu
 
hahaaa..jina lake la kati " mbona haujaliweka aisee.."" Juma Paulo Mwamnofu ""
 
Hahahahahaaa! Mbona haujamueleza namna Watanzania milioni 50+ tulivyonunuliwa mapapai na ndizi za "harufu salasini" na tukashiba na kusaza?
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nakuja na alteza ya blue nikufuatilie
 
Nilikuwa na mwandiko mzuri sana nakumbuka nilikuwa napewa hadi tenda ya kuandika barua za watu (wapenzi).


Barua zangu nilikuwa nikimpa mwanamke akatae naenda kuifuata napeleka kwingineko.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeuwa mbavu zangu mkuu so wewe ulikuwa shababi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Duh kweli jamii forum ni zaidi ya kwenda hata club, unainjoi kigetogeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…