Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Dear Juma Mwamnofu.
Hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Sisi sote tu wazima wa afya.
Dhumuni la kukuandikia barua hii ni kukujulisha mambo machache.
Siku hizi vitu vya KUZINDUA vimekuwa vya kutafuta kwa tochi kama TAKWIMU zileeeee za MAKUSANYO YA MAPATO YA TRA. Mpendwa CAG ameniomba nikuulize vipi kuhusu deni lake la 1.5?
Wasalime sana wauzaji wa mafuta na sukari.
Wako mtiifu Mwanajamiiforum wa msimu.