Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Prof ngwale ** ukiona gari yangu manzese ujue imeibiwa**
 
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.

Dr.Ndibalema Alphonce.R.I.P(2011)
Prof.Paul Maro R.I.P (2016)
 
Namba 7,Prof Haroub alifarik akiwa ndo course coordinator wa kozi alokua akitufundisha pale IDS, Nakumbuka alitoa timed test,weekend ndo akafariki,some body Dick Mulungu ndo aliimalizia ile course(Governance and Civil Society) Allah ampumzishe kwa amani
Nakumbuka tuliomba kozi ifutwe baada ya ule msiba, maana tuliona kama hakuna atakayeweza kutufundisha. na wengi tulienda kusoma hiyo course kwa sababu yake.
 
Dr.Makene wale wa MBB CoNAS wanamkumbuka kwa ubabe wake kwenye courses zake za immunology na Molecular biology
Prof Francis Magingo MC 100
 
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
Prof. Mugongo Fimbo
Prof. Kanywanyi
Dr. Mukoyogo
Prof. Dani Wadada Nabudere
Prof. Mamdani
Prof. Tandon, Y
Prof. Orub Othman
Prof. Walter Rodney
 
Back
Top Bottom