Utakuwa prof. Yupo kwenye orodha ya magwiji lakini anamiliki bar survey au makongo. Biashara Ambayo hata Masawe asiyejua mlango wa darasa anafanya.
Ila Dr Elias mzee wa mchoro nae alikuwa vizuri sana,
Huyu Magingo sio mtu wa spoti spotiDr.Makene wale wa MBB CoNAS wanamkumbuka kwa ubabe wake kwenye courses zake za immunology na Molecular biology
Prof Francis Magingo MC 100
Ha ha ha haaa,Nakumbuka tuliomba kozi ifutwe baada ya ule msiba, maana tuliona kama hakuna atakayeweza kutufundisha. na wengi tulienda kusoma hiyo course kwa sababu yake.