Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Martin?..
 
Kweli siku hazigandi. Hawa wazee walitufundisha kwa moyo wa kizalendo sana. kwa waliotangulia mbele ya haki pumziko la amani mpewe na mwanga wa milele muangaziwe. Kwa waliostaafu nawatakia maisha mema yenye afya njema.
 
Prof.Kamela
Dr.Elvira-alitaka kunikamata sitamsahau
Prof.Kahigi
Dr.Dungumalo nk
 
Ongezea na hawa wataalamu; prof Omar-Cognitive psychology
Prof mbise- child development
prof galabawa
Prof possi
Prof musho
Prof Mosha
Prof balusesa
Dkt ndibalema rip
Dr katabaro
Prof qorro
Prof luoga
Prof maboko
Prof mgaya
Prof njabili
 
Prof Mgongo Fimbo
Prof Osoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…