Jilinde kwa kutumia Stun gun

Jilinde kwa kutumia Stun gun

Simon Kaboja

Senior Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
165
Reaction score
117
Stun gun / Teaser /Shocker
Itakusaidia kujilinda na uhalifu,
ina tochi na inapiga shoti.
bei: 75,000/=
Mahali: kijitonyama
simu: 0656190449
 

Attachments

  • IMG_20181012_071207.jpg
    IMG_20181012_071207.jpg
    154.8 KB · Views: 260
  • IMG_20181012_071151.jpg
    IMG_20181012_071151.jpg
    173.1 KB · Views: 225
  • IMG_20181012_071137.jpg
    IMG_20181012_071137.jpg
    139.8 KB · Views: 193
  • IMG_20181012_071126.jpg
    IMG_20181012_071126.jpg
    184.9 KB · Views: 190
  • IMG_20181012_073815_001.JPG
    IMG_20181012_073815_001.JPG
    16.6 KB · Views: 253
Hebu nielimishe kidogo kuhusu ufanyaji kazi wa hiyo stun gun
Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
 
natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini
Hapana,boss ni brand, iyo ni speaker wireless, kwenye alarm system ina kengele
 
Ikimpiga mtu shoti inaweza kumfanya azimie kabisa au anabaki na fahamu zake..

Kama anazimia hio ni sawa ...
Lakini kama anabaki macho taabu iko pale pale tena unakuwa umemuongezea hasira..

Naitaka hio kitu mkuu
Unaweza kumpiga ili aishiwe nguvu au pia kumzimisha itategemea na kiwango cha shoti unayompiga
 
Toa basi introduction inafanyaje kazi?
Unaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wako
 
natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini
Sawa, Sina iyo boss
 
Back
Top Bottom