thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Mtoa mada jibu hili swali! Kama hauna sema...natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini