Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
Karibu napatikana kijitonyamaNahitaji hii kitu mkuu naipataje
Yes, ulinzi binafsi, karibu piga simu ujipatie yakoKaribu napatikana kijitonyama
Yes, ulinzi binafsi, piga simu ujipatie yakoSheria inaruhusu? If yes then I need one ASAP!
Kabla sijanunua tueleweshe inafanyaje kazi na je kisheria inaruhusiwa kutumia bila kibali chochoteKaribu napatikana kijitonyama
Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvuHebu nielimishe kidogo kuhusu ufanyaji kazi wa hiyo stun gun
Inaruhusiwa mkuu, lengo sio kufanya uhalifu Bali kujikinga na uhalifuKabla sijanunua tueleweshe inafanyaje kazi na je kisheria inaruhusiwa kutumia bila kibali chochote
Hapana,boss ni brand, iyo ni speaker wireless, kwenye alarm system ina kengeleBose wireless speaker hii ni ile ya kengele ya getini yenye speaker?
Ni safe kutumia, unaweza tembea nayoUlinzi muhimu funguka zaidi mkuu
Hapana,boss ni brand, iyo ni speaker wireless, kwenye alarm system ina kengele
Toa basi introduction inafanyaje kazi?Inaruhusiwa mkuu, lengo sio kufanya uhalifu Bali kujikinga na uhalifu
Unaweza kumpiga ili aishiwe nguvu au pia kumzimisha itategemea na kiwango cha shoti unayompigaIkimpiga mtu shoti inaweza kumfanya azimie kabisa au anabaki na fahamu zake..
Kama anazimia hio ni sawa ...
Lakini kama anabaki macho taabu iko pale pale tena unakuwa umemuongezea hasira..
Naitaka hio kitu mkuu
Unaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wakoToa basi introduction inafanyaje kazi?
Sawa, Sina iyo bossnatafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini