Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

@USSR
Ngoja tuweke hili jambo sawa!
Kuna watu wengi hawajui kwamba,kutokana na historia ya Ukoloni na "Ulowezi" wa waingereza nchini Kenya!

Kuna idadi kubwa ya watu Mashuhuri Duniani,ambao wamezaliwa nchini Kenya.

Kumbukumbu zinaonyesha hata aliyekuwa Malikia wa Uingereza,Marehemu Queen Elizabeth.
Alitangazwa kuwa Malkia wa Uingereza,wakati akiwa nchini Kenya kwa ziara Binafsi ya Mapumziko.
Jambo liliopelekea aondoke kwa dharula ili kwenda kuvishwa taji na kutawazwa kuwa Malkia wa Uingereza Mpaka mauti yalipomkuta hivi karibuni.
Na pia sikiliza hii video clip ya orodha ya watu maarufu Duniani,ambao chimbuko lao ni Kenya.
Wakiwemo wasanii,waandishi wa filamu,mawaziri wakuu na mastaa kibao wa Hollywood.

Ieleweke kwamba Kenya kuna wazungu walowezi kwa idadi kubwa sana,huenda hata kuipiku Zimbabwe kabla ya Robert Mugabe kuwafurusha.

Hivyo usishangae kuona Wazungu na watu wengi maarufu kama hao,wakizuru Kenya mara nyingi kuliko.

Ni kwa sababu wengi wao wana vinasaba na Kenya.
Huu ni uongo wa waziwazi kabisa

USSR
 
waache wapite mbali wasitupakae shombo zaushoga
 
Hivi ni kwa nini huwa tunapenda kupondea mambo kabla ya matokeo?

Si tuliambiwa kipindi cha mwendazake tulitengwa sana na mama alinza kuifungua nchi mbona kama haitaki ifunguke?

Sisi tusemeje sasa tunapoona haya?
 
Mke wa rais Donard Trump Melanie Trump alipokuwa mumewe yupo whitehouse aliitembelea Africa akafika Kenya na nchi nyingine,msanii Kanye west aliitembelea Uganda na mkewe ,Nay z na mkewe aliitembelea Rwanda na sasa mke wa rais Jonathan Biden Jill Biden anaitembelea Kenya na namibia ila bado mnasema mmefungua nchi na diplomasia.

Nadhani Magufuli alikuwa makini na ishu hizi za diplomasia ya kihuni hata hawa wanaojifanya wamefungua nchi hakuna wanalopata zaidi ya mikopo ambayo lazima watalipa

USSR View attachment 2526658
Mike Pence( makamu wa rais Trump) pia alikwenda Kenya or rather alikuja Tanzania ulipokuwepo Uchaguzi Kenya. Interest yao na Kenya ni Obama.
 
Mke wa rais Donard Trump Melanie Trump alipokuwa mumewe yupo whitehouse aliitembelea Africa akafika Kenya na nchi nyingine,msanii Kanye west aliitembelea Uganda na mkewe ,Nay z na mkewe aliitembelea Rwanda na sasa mke wa rais Jonathan Biden Jill Biden anaitembelea Kenya na namibia ila bado mnasema mmefungua nchi na diplomasia.

Nadhani Magufuli alikuwa makini na ishu hizi za diplomasia ya kihuni hata hawa wanaojifanya wamefungua nchi hakuna wanalopata zaidi ya mikopo ambayo lazima watalipa

USSR View attachment 2526658
Unapitwa vipi? Wakati nchi yetu imeshatembelewa na kina obama, Clinton, bush, jin ping sijui mfululizo..

Sisi tunabahati sana.
 
Mke wa rais Donard Trump Melanie Trump alipokuwa mumewe yupo whitehouse aliitembelea Africa akafika Kenya na nchi nyingine,msanii Kanye west aliitembelea Uganda na mkewe ,Nay z na mkewe aliitembelea Rwanda na sasa mke wa rais Jonathan Biden Jill Biden anaitembelea Kenya na namibia ila bado mnasema mmefungua nchi na diplomasia.

Nadhani Magufuli alikuwa makini na ishu hizi za diplomasia ya kihuni hata hawa wanaojifanya wamefungua nchi hakuna wanalopata zaidi ya mikopo ambayo lazima watalipa

USSR View attachment 2526658
Hawana faida yoyote hao acha ujinga.
 
jill-biden-ap-2022-08-16-768x525.jpg
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake.

Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati mume wake, #JoeBiden akiwa Makamu wa Rais kipindi cha Rais #BarackObama na sasa anakuja akiwa mke wa Rais.

Ziara hii inatajwa kuwa ni mpango wa Marekani kutafuta uungwaji mkono wa masuala ya Kidiplomasia ili kushindana na Nchi za #China na #Urusi ambazo zimeonekana kuungwa mkono na Mataifa mengi ya Afrika kwa siku za hivi karibuni.

===============

Jill Biden is not a newcomer to Africa.

It will be her sixth time in Africa when she arrives in Namibia on Wednesday as part of a commitment by President Joe Biden to deepen U.S. engagement with the fast-growing region.

It’s her first visit as first lady, though. And she’ll be following in the footsteps of her recent predecessors, who all made the trip across the Atlantic Ocean in the name of trying to help foster goodwill toward the United States.

During five days split between Namibia, located along the Atlantic coast in southern Africa, and Kenya, in the east, Jill Biden will focus on empowering women and young people, and highlight food insecurity in the Horn of Africa caused by a devastating drought, Russia’s war in Ukraine and other factors.

As she departed Washington on Tuesday, the first lady declared, “We have a lot to accomplish.”

Africa is the fastest-growing and youngest region in the world, according to the White House, which says 1 of every 4 people in the world will be African by 2050.

The White House has withheld specific details of the first lady’s activities in each country, citing security concerns.

Jill Biden previously visited Africa in 2010, 2011, twice in 2014 and once in 2016, all during Joe Biden’s service as U.S. vice president. Two of those trips were with him.

AP
Ni koloni lao aje akague tu miradi yao!
 
USSR
Ngoja tuweke hili jambo sawa!
Kuna watu wengi hawajui kwamba,kutokana na historia ya Ukoloni na "Ulowezi" wa waingereza nchini Kenya!

Kuna idadi kubwa ya watu Mashuhuri Duniani,ambao wamezaliwa nchini Kenya.

Kumbukumbu zinaonyesha hata aliyekuwa Malikia wa Uingereza,Marehemu Queen Elizabeth.

Alitangazwa kuwa Malkia wa Uingereza,wakati akiwa nchini Kenya kwa ziara Binafsi ya Mapumziko.

Jambo liliopelekea aondoke kwa dharula ili kwenda kuvishwa taji na kutawazwa kuwa Malkia wa Uingereza Mpaka mauti yalipomkuta hivi karibuni.

Na pia sikiliza hii video clip ya orodha ya watu maarufu Duniani,ambao chimbuko lao ni Kenya.
Wakiwemo wasanii,waandishi wa filamu,mawaziri wakuu na mastaa kibao wa Hollywood.

Ieleweke kwamba Kenya kuna wazungu walowezi kwa idadi kubwa sana,huenda hata kuipiku Zimbabwe kabla ya Robert Mugabe kuwafurusha.

Hivyo usishangae kuona Wazungu na watu wengi maarufu kama hao,wakizuru Kenya mara nyingi kuliko.

Ni kwa sababu wengi wao wana vinasaba na Kenya.

Siyo vinasaba ni koloni lao! wapo wameshikilia uchumi wa Kenya na ruto uhuru families
 
Wewe kama wewe unapata hasara gani ikiwa hao uliowataja hwatatembelea Tanzania au utapata faida gani ikiwa watakuja hapa Tanzania?

Utakosa kula ugali ikiwa Jill Biden hatakuja nchini kwako?
Umejibu kwa maumivu sana, ikiuma chomoa
 
USSR
Ngoja tuweke hili jambo sawa!
Kuna watu wengi hawajui kwamba,kutokana na historia ya Ukoloni na "Ulowezi" wa waingereza nchini Kenya!

Kuna idadi kubwa ya watu Mashuhuri Duniani,ambao wamezaliwa nchini Kenya.

Kumbukumbu zinaonyesha hata aliyekuwa Malikia wa Uingereza,Marehemu Queen Elizabeth.

Alitangazwa kuwa Malkia wa Uingereza,wakati akiwa nchini Kenya kwa ziara Binafsi ya Mapumziko.

Jambo liliopelekea aondoke kwa dharula ili kwenda kuvishwa taji na kutawazwa kuwa Malkia wa Uingereza Mpaka mauti yalipomkuta hivi karibuni.

Na pia sikiliza hii video clip ya orodha ya watu maarufu Duniani,ambao chimbuko lao ni Kenya.
Wakiwemo wasanii,waandishi wa filamu,mawaziri wakuu na mastaa kibao wa Hollywood.

Ieleweke kwamba Kenya kuna wazungu walowezi kwa idadi kubwa sana,huenda hata kuipiku Zimbabwe kabla ya Robert Mugabe kuwafurusha.

Hivyo usishangae kuona Wazungu na watu wengi maarufu kama hao,wakizuru Kenya mara nyingi kuliko.

Ni kwa sababu wengi wao wana vinasaba na Kenya.

Basi tuiite Kenya 'semi Africa semi Europe "...
 
Back
Top Bottom