Kweli hujafa hujaumbika...!!!!
Wenzenu wa miaka ya 1947 tushindwa hata kujua laana iliyoikumba hii dunia imetoka wapi!!
Kijana wa watu keshakata shauri...iwe ni kutumika, kufa, kufaidi au kupotea kabisa, yeye yuko tayari!!
Namfikiria sana mama yangu ninapojiweka kwenye nafasi ya hawa watoto......!!!!!
Ipi hebu badili avatar kuna kipenzi cha wengi hapa anaitumia sasa sidhani kama unaweza kuvaa viatu vyake,vitakupwaya sana.Mwache aingie aone,akishtuka atakua amechelewa.
mkuu ulizaliwa kwa bahati mbaya
Halafu haya majimama yanakuagaa matamuuuu and hot lk hel!
Yanakulea na ankufanya superviser wa miladi.what a luck!
Sio kuchunwa na vdosho wa manzese!
Men kipit up! Alaa!
hahahahahahahaha hapo kwenye K nimecheka sana injini imechoka! Natu100 cmu ningekupa like kama 5 hivi. Jimama mama mama hilo mama ah mamah hilo......mhh tutolee uzushi wako hapa....k zimetepweta wanatumia mbadala ndo sababu!!!
Potelea mbali cjali maneno yenu wabanaji ebo mi cjali yote msemayo hata kama yana ukweli ndani yake coz maisha yenyewe haya lisiponiuwa jimama ntakufa na maisha magumu so its all the same....
ha ha ha ha UTAWAJUA TU.Halafu haya majimama yanakuagaa matamuuuu and hot lk hel!
Yanakulea na ankufanya superviser wa miladi.what a luck!
Sio kuchunwa na vdosho wa manzese!
Men kipit up! Alaa!
mtume muhamad alioa wake waliolingana umri???? wataalamu mtueleze. Kosa la huyu jamaa ni kutaka kuchakachua ila angekuwa anataka kuoa hapo angekuwa hajafanya kosa lolote.Nyie viumbe msio na fikra, hata biblia na misahahafu kweni ni adimu? Mmelaniwa!
Kama kweli wewe mpenzi wa mijimama, ebu test kwa mama yako mzazi. Acha kuharibu mama wa wenzako. Kuna watu wakeinda msalani badala ya kutoa kinyesi wanatoa akili. Nahisi hawa binadamu 2 wanajisaidia akili zao.
mkuu ulizaliwa kwa bahati mbaya