Jimama jamani...

Jimama jamani...

Kweli hujafa hujaumbika...!!!!

Wenzenu wa miaka ya 1947 tushindwa hata kujua laana iliyoikumba hii dunia imetoka wapi!!

Kijana wa watu keshakata shauri...iwe ni kutumika, kufa, kufaidi au kupotea kabisa, yeye yuko tayari!!

Namfikiria sana mama yangu ninapojiweka kwenye nafasi ya hawa watoto......!!!!!
 
fafanua hapo,unamfikiria mama yako atatongozwa na watoto hawa au vipi?????/
 
Halafu haya majimama yanakuagaa matamuuuu and hot lk hel!
Yanakulea na ankufanya superviser wa miladi.what a luck!
Sio kuchunwa na vdosho wa manzese!
Men kipit up! Alaa!

Kama kweli wewe mpenzi wa mijimama, ebu test kwa mama yako mzazi. Acha kuharibu mama wa wenzako. Kuna watu wakeinda msalani badala ya kutoa kinyesi wanatoa akili. Nahisi hawa binadamu 2 wanajisaidia akili zao.
 
Kipenda roho....

All the best mkuu...., "Different Strokes for Different Folks"
 
Nyie viumbe msio na fikra, hata biblia na misahahafu kweni ni adimu? Mmelaniwa!
 
mhh tutolee uzushi wako hapa....k zimetepweta wanatumia mbadala ndo sababu!!!
hahahahahahahaha hapo kwenye K nimecheka sana injini imechoka! Natu100 cmu ningekupa like kama 5 hivi. Jimama mama mama hilo mama ah mamah hilo......
 
Potelea mbali cjali maneno yenu wabanaji ebo mi cjali yote msemayo hata kama yana ukweli ndani yake coz maisha yenyewe haya lisiponiuwa jimama ntakufa na maisha magumu so its all the same....

Duh! asara...
 
Nyie viumbe msio na fikra, hata biblia na misahahafu kweni ni adimu? Mmelaniwa!
mtume muhamad alioa wake waliolingana umri???? wataalamu mtueleze. Kosa la huyu jamaa ni kutaka kuchakachua ila angekuwa anataka kuoa hapo angekuwa hajafanya kosa lolote.
 
Join Date : 4th August 2011
Posts : 21

Rep Power : 0

Du, Ndio umeambiwa wanapatikana humu?
 
Utani huu,soma kijana,pambana na maisha,vya bure ni noma,vinaua!!!!
 
Kama kweli wewe mpenzi wa mijimama, ebu test kwa mama yako mzazi. Acha kuharibu mama wa wenzako. Kuna watu wakeinda msalani badala ya kutoa kinyesi wanatoa akili. Nahisi hawa binadamu 2 wanajisaidia akili zao.

W/end yangu imeanza vyema nimecheka mpaka basi lol jf raha sana asee
 
no wonder mabinti kila siku wanaweka matangazo ya kusaka wachumba! acha uvivu wa majukumu, unataka msaada ama unataka mwenza?
 
Back
Top Bottom