Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Sasa sio wakati wa kutoa maoni ya namna gani wabunge wapatikane, bali ni majimbo gani yabadilishwe majina na majimbo gani yagawanywe kwa kufuata utaratibu uliowekwa.Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.
Pia tubadilishe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.
Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
Jimbo la Uyui ni kubwa kuliko majimbo yote ya Uchaguzi nchini.Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Jimbo la kigamboniTumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Kwa GeitaTumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Majimbo yabaki machache tu , mfano mkoa mmoja uwe jimbo Moja tu lenye wabunge wawili tu, "me" na "ke" .Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Yaani ninakuunga Mkondo kwa dhati, maana wabunge wengi ni kuharibu pesa, pia mapesa wanayolipwa wabunge yapunguzwe na zijulikane ni kiasi Gani maana ni Kodi zetu isiwe Siri Siri,Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.
Pia tubadilishe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.
Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
Yaani ninakuunga Mkondo kwa dhati, maana wabunge wengi ni kuharibu pesa, pia mapesa wanayolipwa wabunge yapunguzwe na zijulikane ni kiasi Gani maana ni Kodi zetu isiwe Siri Siri,Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.
Pia tubadilishe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.
Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
Hapo hakuna lolote zaidi ya Dokta Aliyetulia Kuogopa Usugu Ili Jimbo Ligawanywe... Shida Hawajui Wanatuongezea unnecessary costs tu... WaMbeya Ni Watu Wa Ajabu Sana. Hawana SiriTumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Zanzibar wabunge watano wanatosha.Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.
Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Sahihi aisee, jimbo kubwa kuliko Zbar.Jimbo la Ukonga Jiji Dsm.