Jimbo gani ligawanywe, kwanini?

Jimbo gani ligawanywe, kwanini?

Nguruka

Senior Member
Joined
Dec 6, 2006
Posts
189
Reaction score
129
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
 
Attachments

  • Screenshot_20250226-173930.png
    Screenshot_20250226-173930.png
    1.2 MB · Views: 3
  • Screenshot_20250226-173941.png
    Screenshot_20250226-173941.png
    992.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250226-173953.png
    Screenshot_20250226-173953.png
    511.1 KB · Views: 3
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.
Pia tubadilishe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.

Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
 
Sasa sio wakati wa kutoa maoni ya namna gani wabunge wapatikane, bali ni majimbo gani yabadilishwe majina na majimbo gani yagawanywe kwa kufuata utaratibu uliowekwa.
 
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Jimbo la Uyui ni kubwa kuliko majimbo yote ya Uchaguzi nchini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Jimbo la kigamboni
Aya gawanya sasa!!!
 
Mm nashauri Majimbo ya nchi jirani ya Zanzibar yaunganishwe..walau jimbo moja liwe na wapiga kura 80elfu
 
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Kwa Geita
1. Mbogwe (kata 17) kuwe na Mbogwe na Nyakafulu- mpaka uwe pale Mbuga ya Mwendamkono kata ya Lugunga
2. Busanda (Katoro + Busanda ) population ni kubwa mno.
3. Mbeya vijijini (Mbalizi, Inyala, Umalila) ziko scattered sanaàa.
 
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Majimbo yabaki machache tu , mfano mkoa mmoja uwe jimbo Moja tu lenye wabunge wawili tu, "me" na "ke" .
 
Igawanywe mikoa badala ya majimbo ya kisiasa ya Uchaguzi.
Pia tubadilishe Katiba ya nchi ili Wabunge watokane na mikoa, kila Mkoa utoe Wabunge wa kuchaguliwa wapatao wawili au wanne, yaani Wabunge Wanaume Wawili na Wabunge Wanawake pia wawe wawili. Kusiwepo na Wabunge wa Viti Maalumu wa kuteuliwa Kutokea Majimboni au wa kuteuliwa kutoka kwenye Uwakilishi wa Majimbo au Mikoa.

Rais wa nchi apewe nafasi zake Kumi tu (10) za kuteua Wabunge wa Kuteuliwa, pasiwepo na idadi nyingine zaidi ya Wabunge wa kuteuliwa zaidi ya hao Kumi wa kuteuliwa na Rais wa nchi.
Yaani ninakuunga Mkondo kwa dhati, maana wabunge wengi ni kuharibu pesa, pia mapesa wanayolipwa wabunge yapunguzwe na zijulikane ni kiasi Gani maana ni Kodi zetu isiwe Siri Siri,
 
Hapo hakuna lolote zaidi ya Dokta Aliyetulia Kuogopa Usugu Ili Jimbo Ligawanywe... Shida Hawajui Wanatuongezea unnecessary costs tu... WaMbeya Ni Watu Wa Ajabu Sana. Hawana Siri
 
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na ubadilishaji wa majina ya majimbo ya uchaguzi.

Lakini Je! Unadhani ni Jimbo gani linastahili kugawanywa na kwanini.
Zanzibar wabunge watano wanatosha.
 
Back
Top Bottom